OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,816
- 117,357
Katika muendelezo wa Mapinduzi Cup leo usiku Mtibwa inakutana Yanga.Nichukua fursa hii kuwatakia ushindi mkubwa Mtibwa Sugar.Nitoe onyo kali kwa marefa ambao wamekuwa wakilalamikiwa kuibeba Yanga.Yanga ambao ni vinara wa vurugu tunawata wacheze mpira na sio kucheza ngumi.