Lewa lakini usiangushe gari wajanja wakapita.Nimeanza kusherehekea ushindi wa lema toka leo.
Watakao ungana na mimi,wani inbox,nitalewa zaidi ya daimond
Ni kweli tuko tayari kwa kila kitu...jimbo hatuliachii hata wafanye fitna namna gani Lema ni wetu na Chadema na Arusha ni kitu kimoja!wana wa arusha wanasubiri kwa hamu!
Vyovyote itakavyokuwa atapokelewa kama shujaa.tumeandaa ndege ya kumrudisha kamanda nyumbani!
Tena Zitto nimemvua heshima zake namuona hata hiyo elimu yake ni km imemuongeza MAJI kichwani yan kazidi kuwa kilaza hata harafakari tena anafanya mambo ya kipuuzi wakati watanzania tuko serious na mabadiliko. Simpendi tena na laana ya wanyonge imwangukie tumasalia leo watashinda kwa mganga wao kuwanga! mfyuuuuuuu Zitto na vibaraka wenzie!