Kila la kheri darasa la saba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila la kheri darasa la saba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzururaji, Sep 19, 2012.

 1. Mzururaji

  Mzururaji JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,236
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Wakuu wa jf naomba 2watakie mtihani mwema ndugu zetu zomba na ritz na mwenzao njundanjundelekajo labda baada ya kuhitimu mtihan wao wa rasaba watakuweza kujenga hoja. mtihan mwema wanajamvi wenzetu pamoja na std 7 tz nzima
   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  all the best...kumbe wadau wengine humu bado kuhitimu elimu ya msingi?...lol
   
 3. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Aww amina..kumbe leo, woote,wenye ndugu,jamaa wanaohitimu Mungu awalinde!
   
 4. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Mkuu Zomba nakutakia kila la kheri na mtihani wa kumaliza kidato cha 7...LY 2012 sio!
  Huwa bado wanapikiwa pilau siku ya kumaliza darasa la 7? Enzi zetu tulikuwa tunapikiwa pilau.
   
Loading...