Kila la kheli Abely Mwinuka

Pole binti...mpaka soma la 'mapenzi' lieleweke server ya JF itakuwa imejaa na kumwagika..
ila huyo Abely Mwinuka?...
 
dah!!

kuna watu wanabahati duniani yaani from no where tuu unaibuka ku-make headline kwenye media kama jf??

haya Abely mwinuka hongera
 
Tehe tehee. Hii mambo bhana! Huwa nawaona watoto dizaini hii wanatembea barabani wameshikana mikono au wanalishana chips kuku huku wakiitana Baby baby baada ya muda huanza kuitana majina yao kama huyu from Baby to Abely.
 
POLE.
Heri kumwagwa kuliko kumiminwa....
 
Umekumbuka kumtangaza na kule fesibuku kwenye wolipeji yake?
 
hahahahaaaa kwaio umeona umtangazee????
 
she has to,paroko
halafu mambo ya kugombana kule mtaani na kuja kuleta simulizi na majina halisi kwenye media sio kabisa
Good good mwallu i like this perspective
 
Last edited by a moderator:
she has to,paroko
halafu mambo ya kugombana kule mtaani na kuja kuleta simulizi na majina halisi kwenye media sio kabisa

Najua usingependa sana nipite hapa....
 
We lazima utakuwa siyo chaguo lake so usilalamike,. Mfano mimi kuna binti wa kichaga ananipenda sana, lkn mimi simpendi kweli, yani nampenda nikitaka mgegedo tu,. Nikimwangalia namuonea huruma natamani kulia, najuta kumtongoza, lkn ndio hivyo halmashauri ya Moyo!
 

subiri yakugeukie
 

Naomba kukuuliza?

"kheli" kama ulivyoandika kwenye kichwa cha habari yako, na "kejeri" kama nilivyoiwekea nyekundu hapo juu, ndio vyakula vipi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…