Let the the truth be said
nasikia huyo abely ni star labda ndo maana
ni star wa nini? mleta mada ajitaje basi na yeye!
Pole... Utampata mwingine mwenye mapenzi ya dhati...!
Mapenzi ya kitoto haya. Kama kakuacha ndio umtangaze na jina lake? Kwa nini uendelee kusikitika wakati ulisema umeamua kukaa pembeni? Inaonekana jamaa alikuwa madini sana, unasikitika kumpoteza mtoto wa kikinga!
hayo maneno tu...kuna magarasa mengine yanamsubiri mpk ampate huyo wa dhati
Twin yani bora tuambiane ukweli tu hapo badooo yani huyo hajamtenda kabisa asubiri matukio makubwa zaid...Huna huruma best,bidada anahitaji faraja hata ya uongo maana inaelekea kavurugwa Hasa!!!
Ila ulichomwambia ni kweli tupu,ndio kwanzaaa safari imeanza.
this is hilarious.. wonders never ends
Kwani kuna ubaya gani kumtaja mtu jina?
Nasikitika sn mitanzania sisi kila kitu kuficha tu.
Pole... Utampata mwingine mwenye mapenzi ya dhati...!
Twin yani bora tuambiane ukweli tu hapo badooo yani huyo hajamtenda kabisa asubiri matukio makubwa zaid...