Leo huko Tanzania watoto wa darasa la saba katika skuli za msingi mbalimbali za Tanganyika wanafanya mitihani yao wa mwisho wa kumaliza elimu ya msingi.
nachukua nafasi hii kuwatakia kila la kheir na mafanikio mema,wafanye vizuri na hatimaye wafaulu na kuendelea na skuli za sekondari.
nawatakia kila la kheir darasa la saba katika mitihani yenu