Waacheni watoto wafanye mitihani kwa Amani.Wasimamizi keep your eyes kwenye private schools zilizoko sirari wilaya ya tarime. Narudia KEEP YOUR EYES ON THEM.
Wapi nimesema watoto au kichwani umeshakuwa programmed.Waacheni watoto wafanye mitihani kwa Amani.
wawe makini kwenye shule zote ili kuzuia udanganyifu.Wasimamizi keep your eyes kwenye private schools zilizoko sirari wilaya ya tarime. Narudia KEEP YOUR EYES ON THEM.
Afaulu mtoto wetu, Mungu amsimamie na awe na afya njemaBest wishes my daughter Yvonne!!
Napenda sana hili jina aise,Best wishes my daughter Yvonne!!
Binamu anapewa nini?Hivi watoto wa la nne si wadogo sana?Kwa nini wanapewa mitihani?
All the best watoto wote.Tuache ubinafsi wa kuwatakia mtihani mwema watoto mnaowajua tu.All the best wa watoto wote
Mungu awapiganie...Leo tarehe 28/10/2021 wanafunzi wetu wa Darasa la nne wanafanya mitihani yao ya kuwapima uelewa wao kabla hawajavuka kwenda darasa la tano. Tunawatakia mtihani mwema. Tudhibiti udanganyifu, udanganyifu haufai, udanganyifu huuwa vipawa.
Wataalamu bora hawapatikani kwa udanganyifu.
🤣🤣🤣Wanamuonea,ni mdogo sana.Hapaswi kupewa mitihani.Binamu anapewa nini?
Anapewaga majaribio[emoji41][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanamuonea,ni mdogo sana.Hapaswi kupewa mitihani.