Shida sio kuwa waarabu, Shida ni maneno yao, Hata wagana wangekuwa na hizo pigo za kujitenga na kuwadharau waafrika wengine tungewatenga.
Aliyeanza ubaguzi ni Moroco na ndiye aliyetaka kujiunga na Ulaya.
Kwahyo kuendelea kujipendekeza kwa watu wsnaokubagua kama wewe unavyofanya, either wamekuoa au nawewe ni mwarabu, ila kama sio hizo basi wewe ni kichaa