Kuna kitu ambacho nimegundua kwa fistom mayele Uyu jamaa ana nyota ya kupendwa na watu Yaani ana mvuto wa watu Mimi nilifikiri yanga tu ndo anapendwa na watu wengi na wengine kumfurahia Even Vita club alikuwa na shangiliwa kama anavyo shangiliwa yanga Sasa wenye akili ndo watumie fursa...