teh teh teh..sasa imekua ukiwa. mbele ya hoja mnabakia bubu kazi kutoa mitusi. ndio maana mkapa kawaambieni ile maneno mbaya..teh teh, eti wapumbavu.Hivi ulishatoka Mirembe au bado unapata matibabu?
Pole sana...Utapona usijali.
Kila kitu sasa kiko ukutani kuhusu anguko la UKAWA. Kila chama mshirika kimesambaratika. Sio CHADEMA sio CUF wala NCCR mageuzi. Vyama vimevamiwa na mamluki waajiriwa wa tajiri anayedhani anaweza kununua urais wa Tanzania kwa hela yake. Baada ya usaliti wa viongozi wa CHADEMA wananchi wamegundua hila na mazingaombwe ya UKAWA wanangojea kutoa hukumu Oct 25 kwa kusema 'ndio' kwa Magufuli. Wasaliti sasa wanapigana vita gizani. Wanarusha ngumi bila kuona adui wanadundana ngumi wenyewe kwa menyewe. Kwenye mitandao ya kijamii wameishiwa hoja wanarusha magarasha tu.
Mkapa alimaanisha wapumbavu na Malofa wanaompigia kampeni Magufuli wakati hawana hata buku mfukoni!teh teh teh..sasa imekua ukiwa. mbele ya hoja mnabakia bubu kazi kutoa mitusi. ndio maana mkapa kawaambieni ile maneno mbaya..teh teh, eti wapumbavu.
hapa kazi tu.
Kila kitu sasa kiko ukutani kuhusu anguko la UKAWA. Kila chama mshirika kimesambaratika. Sio CHADEMA sio CUF wala NCCR mageuzi. Vyama vimevamiwa na mamluki waajiriwa wa tajiri anayedhani anaweza kununua urais wa Tanzania kwa hela yake. Baada ya usaliti wa viongozi wa CHADEMA wananchi wamegundua hila na mazingaombwe ya UKAWA wanangojea kutoa hukumu Oct 25 kwa kusema 'ndio' kwa Magufuli. Wasaliti sasa wanapigana vita gizani. Wanarusha ngumi bila kuona adui wanadundana ngumi wenyewe kwa menyewe. Kwenye mitandao ya kijamii wameishiwa hoja wanarusha magarasha tu.
ona sasa. mizungu mazingaumbwe ya gwajima. huyo mchawi wenu hadi nyeupe watu wanasema nyeusi hakika atashindwa.Mkapa alimaanisha wapumbavu na Malofa wanaompigia kampeni Magufuli wakati hawana hata buku mfukoni!
Hope uko kwenye list ya wapumbavu wa kweli...!
Pole sana!
Mimi na ukoo wangu hata babu yangu ambae alikuwa mbishi tutampigia Lowassa..Mtoa mada na wengine mliobaki CCM bado mna mda wa kupanda ktk meli ya ushindi njooni tuimbe wote MABADILIKO
UKAWA wapo pamoja than ever! Na sasa ushindi ni dhahiri. Magamba yanatapatapa kutafuta kila njia kutugawa lakini kila mbinu imegota. Hata vijijini sasa wanaimba Lowasa.Halafu faraja ni kuwa wengi wanaotuunga mkono wamejiandikisha kupiga kura!