Kuna kitu umesahau kuwa wewe ndo umepanga kila kitu..Unaweza kufanya KILAKITU kwa usahihi/ufasaha, ukakaza kwa asilimia zote 100, ukafata sheria zote, ukakwepa makosa yote na bado ukafeli kama kawaida. Haimaanishi una udhaifu, lkn maisha ndivyo yalivyo... Kila kitu kilishapangwa!
Hakuna kilicho pangwa ila elewa tu life is the game of chanceUnaweza kufanya KILAKITU kwa usahihi/ufasaha, ukakaza kwa asilimia zote 100, ukafata sheria zote, ukakwepa makosa yote na bado ukafeli kama kawaida. Haimaanishi una udhaifu, lkn maisha ndivyo yalivyo... Kila kitu kilishapangwa!
Umepaanga wewe mwenyewKimepangwa na nani mkuu?
Mimi nimepangaje wakati nimezaliwa tu bila kushirikishwa?Umrpaanga wewe mwenyew
Hapana. Kamsome ‘Neville Goddard’ , , ‘Power of Imagination’. Life is highly fluid, unaiumba dunia yako kwa ‘Consiousness’ yako, ambaye ndiye Mungu ndani yako, hakuna Mungu nje ya wewe mwenyewe.Unaweza kufanya KILAKITU kwa usahihi/ufasaha, ukakaza kwa asilimia zote 100, ukafata sheria zote, ukakwepa makosa yote na bado ukafeli kama kawaida. Haimaanishi una udhaifu, lkn maisha ndivyo yalivyo... Kila kitu kilishapangwa!
Na wewe umesahau kitu kimoja, kwamba kila mtu anauwezo wa Kubadili sasa ‘Consciously’ kila alichokipanga.Kuna kitu umesahau kuwa wewe ndo umepanga kila kitu..
Mpka hatima yako..Kabla hujazaliwa
View attachment 2943376
Yeah ni kweli!Na wewe umesahau kitu kimoja, kwamba kila mtu anauwezo wa Kubadili sasa ‘Consciously’ kila alichokipanga.
(Neville Goddard - Imagination) , Teachings From ( Abdullah - Ethiopian Rabbi).
KarmaFikra zako kila dakika ndizo zinapanga matokeo ya badae na sasa , yaani jinsi ulivyo ni matokeo ya kile unachokiwaza .
Wewe ndo ulipanga uzaliwe wapi, Uzaliwe na nani na uzaliwe sehemu gani, Wewe ndo uliamua haya mapito.unayopitia."Path life" uyapitia ili kufika "Destiny" uliyoamua..Mimi nimepangaje wakati nimezaliwa tu bila kushirikishwa?
Well, inaweza ikawa hivyo. Lakini mafundisho ya Abdullah kupitia mwanafunzi wake Neville, yanatoa nafasi ya kubadili chochote wakati wowote unconditionally kwa kuwaza (imagination) na kuamini tu (faith). Na hii mimi nimeprove personally , sio mara moja, sio mara 10, sio mara 100, mara nyingi mno.Yeah ni kweli!
Japo haiitwi kubadili inaitwa Kunegotiate!
Yaani kwakuwa kila kitu ulishakipanga Unachofanya ni Negotiation ya baadhi ya mambo in exchange of something..!
Kwa mfano:- kama maisha yakizidi kuwa magumu sana na ukitaka kuyapunguza makali yake unaweza kunegotiate kwa Kutoa misaada na kuthamini Sana yatima ba wasiojiweza na kutoa maisha yako kwa ajili ya kusaidia watu..
Kwahyo yatapungua makali..
According to science?Wewe ndo ulipanga uzaliwe wapi, Uzaliwe na nani na uzaliwe sehemu gani, Wewe ndo uliamua haya mapito.unayopitia."Path life" uyapitia ili kufika "Destiny" uliyoamua..
Sasa baada ya kupanga hivyo Umekuja duniani ili upate funzo na Pia ujue kwanini ulichagua maisha hayo na kama utapata uwezo wa kujua hayo uweze kupunguza au kunegotiate Uchungu..
Kumbuka tu unapozaliwa mpaka kupika miaka miwili au Mitatu huwa unajua kabisa kuhusu Mambo hayo.. maana unakuwa umepigwa Partially Amnesia ila ukikua unapigea Totaly amnesia ni jukumu lako wewe kutafuta ukweli huo uliofichwa ndani yako...
Na Maelezo hayo yamehifadhiwa vyema kabisa (Kitabu chako upande wa kuume)
Sasa mkuu ,mbona binadamu asilimia zote wana mipango mizuri ,ila asilimia kubwa mambo yanaenda tofauti?Kuna kitu umesahau kuwa wewe ndo umepanga kila kitu..
Mpka hatima yako..Kabla hujazaliwa
View attachment 2943376