TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,014
- 22,137
Inaonekana kwenye kumtafuta huyo mke Mchungaji alihusika kwa kiwango kikubwa kuliko wewe na ndio maana anakimbilia huko.
Nawe riport yake kwa mama mchungaji....
Huyo mtafutie mchepuko tuu atatulia mwenyewe...
Nawe riport yake kwa mama mchungaji....
jibu sahihi hili..
sipendi wanawake wa dizain hyo, jitu linatoa mambo ya ndan linapeleka nje ,kama lofa!