Hivi anapenda sana kutazama "chini"?
Maisha yana ladha tofauti tofauti kulingana na muda na nafasi pia.Hulka anapotatizika
Wakati si milele
Kuna wakati wa kutafuta na kuna wakati wa kukoma kutafuta
Wakati wa kupata na wakati wa kukosa
Wakati wa kulia na wakati wa kucheka
Wakati si miaka, na miaka sio umri....utashi alionyimwa mwanadamu., kuijua kesho yake... Mustakabali wake ukomo unapofikia tamati....
Nikukumbushe tu ya kuwa..... Zijapopita nyakati njema usihuzunike bali ufurahi kwakuwa zilikuwako..... View attachment 952971View attachment 952970
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]MshanaJr unafaa sana kuwa mchungaji au mtumishi wa Mungu.
Nitakutafuta tuone jinsi kuzichoma tunguli na mambo yake, ili twende shambani mwake Bwana maana mavuno ni mengi ila wavunaji ni wachache.
Mungu aendelee kusema na moyo wako