Kila hotuba afadhali ya Jana

BUSAMUDA

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
612
358
Huu Kwa Kweli ni moto Kila hotuba afadhali ya Jana Naamini Huko Siku zijazo hata mawaziri wataanza kukimbia mchaka mchaka.

Anzia Kagera, Simiyu now Shinyanga nyie wenyewe mmezisikia kwa mawazo yangu kali ya SIMIYU Mpaka Mwenyekiti anaitwa MNAFIKI
 
si kweli ,aliambiwa ukweli mchungu hahahahahahah.
 
Tupiatupia nyama mkuu tuanze kuwachana hawa ccm waliochoka kufikiri
 
Kuna mtumishi ameajiriwa kwa ajili ya kuandika hotuba ya mkuu,kama anapata nafasi ya kuandika na kuikabidhi kazi yake basi hatolaumiwa.!
Tunaamini,mtumiaji wa hotuba ana hiyari ya kuhariri,kuongeza,kupunguza au kutotumia yaliyoandikwa!
 
Nasubiria kauli hii "HAPATAKUWA NA UCHAGUZI MKUU MWAKA 2020 KWASABABU ZA KUBANA BAJETI, NA ANAYETAKA UCHAGUZI BASI AENDE KUUFANYA KWENYE NCHI ALIYOJIRANI NAYO SIO KWETU"
 
Kinana alizunguka nchi nzima kukijenga ccm,sasa atakuwa analilia chini ya meza
 
Nasubiria kauli hii "HAPATAKUWA NA UCHAGUZI MKUU MWAKA 2020 KWASABABU ZA KUBANA BAJETI, NA ANAYETAKA UCHAGUZI BASI AENDE KUUFANYA KWENYE NCHI ALIYOJIRANI NAYO SIO KWETU"
Hahahahahahaaa uuuwiii
 
Back
Top Bottom