Kila dhambi ya usaliti kwenye mahusiano ina malipizi

Charliemic

JF-Expert Member
Feb 17, 2019
585
919
Nilichojifunza katika maisha ni kuwa kila aliyemsaliti mtu ambaye wana mahusiano huwa karma inamtafuna.

Mwaka jana mke wa jirani yangu aliachana na mshkaji! Tena mwanamke aliondoka kwa dharau na kumtukana saana mshkaji! Hawa wanandoa tayari walikuwa na mtoto mmoja.

Jamaa akaenda wa wazazi wa mwanamke kutafuta suluhu. Baba mtu akatia ngumu kuwa mshkaji anampotezea muda mtoto wake (Mshkaji ni mpambanaji wa kila siku kwenye kuupata ugali)

Mwaka huu mwanzoni jamaa akagundua kuwa mke wake amepangishiwa nyumba na mzee mmoja maeneo ya kimara! Katika upelelezi wake jamaa akabaini kuwa yule mzee ana mke na watoto tayari hivyo huyu mke wa mshkaji ni kamchepuko ka huyo mzee.

Siku zikasogea mwezi wa sita mzee akapata stroke! Mpaka sasa mzee yupo kitandani! Kule kwa mchepuko huduma zikakata! Mpaka akatia huruma! Akarudi kwa wazazi baada ya muda wazazi wakaanza masimango kwa binti yao! Hivi sasa amerudi kwa mshkaji amekuja kuomba msamaha.

Tembea uone
 
Ni kweli kabisa kabisa usaliti huwa haumwachi mtu salama sasa huyo mwanamke mpaka anakufa hatomzarau huyo bwana tena
 
Back
Top Bottom