Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 8,102
- 23,690
Angalia historia za kuvuja kwa connection zote duniani na hapa nchini jamii itamsema vibaya mwanamke badala ya mwanaume.
Mwaka 2008 dunia ilishuhudia kichupa kikivuja cha mjuba Ray Jay na Kim Kardashian, mwamba hata hakusemwa dunia nzima ikamwita Kim malaya.
Tangu hapo Kardashian family ikaamua kuhalalisha umalaya kwenye familia yao baada ya soft porno ya binti yao kuvuja.
Tunaikumbuka connection ya Mwijaku na Menina. Mpaka leo Menina na familia yake hawajaheal. Ila chawa kaoa, kaajiriwa na maisha yanaendelea na jamii haishtuki ikimuona ila leo Menina akipita mbele za watu anaitwa malaya.
Akaja mwamba kutoka Afrika Magharibi wa kuitwa Baltazar bin Egonga mwenye guiness record yake mume na baba wa watoto 4, lomba sana wake za watu.
Lakini Afrika yote tukaungana kuwasema sana wale wanawake kuwa ni malaya. Wengi waliachika nasikia mmoja alijiua. Imagine fedheha walizopitia familia zao. Egonga yuko ngome kwa ishu zake zingine ila bado Afrika na dunia inamuona shujaa.
Anayetrend kwa sasa ni Russian guy a.k.a 'come with me.' Katia sana wadada na wamama wa Kikenya ila jamaa anaonekana shujaa kama Egonga na Ray Jay
Hizi connection za wanavyuo utasikia vibinti vya chuo vimalaya sana lakini kamwe hutasikia majanja wakitajwa.
Hapo haujagusia kichupa cha the African Princess na Nenga
Zaa uzaavyo ila hakikisha unapata mtoto/watoto wa kiume, watoto wa kike kuaibisha familia ni jambo la sekunde tu.
Halafu kuna mwanamke mpumbavu utamsikia anasema mume akicheat na yeye anacheat. Bibie utaishia kuitwa malaya na ndoa itakushinda. Wanaume sio wenzenu.