Kila Binadam amezaliwa na Jinn

Huyu mtoa mada ni maandazi kichizi yan.. Kaleta mada ila tukimuuliza maswali kwa ajili ya ufafanuzi anasepa au atakuja na aya zake za kukariri alaf anaandika kwa matamshi ya kiarabu.. Mpuuzi sana huyu

Kazi yetu si kushinda nyuma ya keyboard kubishana ndugu tuna mambo kadha wa kadha ya kufanya kama sasa unaweza ukauliza jambo nisijibu naelekea msikitini kufanya ibada.

Ila uliza tu utajibiwa coz post hazifutiki humu ndugu.

Baadae kidogo. Ahsanta.
 
Mkuu nilikuuliza swali langu ukalikimbia ndio maana nikasema hayo.. Mbona maswali mengi umeyaruka.. Cpo kwa ubishi..
 
Ni vyema kusoma maelezo haya kwa mtazamo wa uumbaji wa Mungu na katika Nguvu za kristo Yesu huku ukifingua jicho lako la tatu ilikupata ujumbe ulioko ndani yake.
 
kumbe ndio maana hampendagi kitimoto
 

Unajua mkuu, binadam ameumbwa kwa utashi wa kuweza kupambanua mambo na kuyatafakari na kuona jambo hili lina manufaa au hapana.

Hakuna mtu aliyezaliwa akawa anajua kila kitu lakini wengi wanajifanya kujua wakati hawajui chochote.

Ulimwengu una mengi sana ambayo watu wengi wangependa kuyaona au kuyaskia wao binafsi au hata kujifunza tu kutoka kwa watu kadha wa kadha.

Wapo wengi wanajifunza toka kwenye mada kama hizi ambapo sjamtukana mtu humu wala kuongelea/kuikashifu dini ya mtu lakini utashangaa kuona mtu anaanza kutoa lugha chafu kwa kweli ni kukosa utashi hawa hawana tofauti na wanyama mkuu.

MUNGU AWASAMEHE BURE.
 
aliyezaliwa na majini ni wewe na watoto wako..ninachojua mimi na familia yangu na taifa langu tumefunikwa kwa damu ya Yesu kristo aliye hai na roho mtakatifu akiniongoza ktk kila jema nifanyalo hapa duniani..

Basi ni sawa Mwinjuma.
 
TABIA MBAYA SANA KUUCHAFUA UISLAM NA KUTAKA KUTAFSIRI QURAAN KWA MASLAHI YAKO YA KIGANGA NA HILO NDIO LINALETA KUUCHAFUA UISLAMU
 
Du ngoja nifanye fitna nimdhibiti huyu Qareen manake hii minduki nnayopiga siku hizi atakuwa ni yeye tu dadeki zake!

Sawa mkuu nafurahi kuskia hivyo na MUNGU atakusaidia katika hilo mkuu.

Ahsanta.
 
Kila mtu ana nafsi huru anapanga na kuchagua afanye nini. Hizo habari za kuwa na director ni uzushi tu

Umeteleza kidogo tu ndugu kwa lugha nyingine japo si maridhawa watu huita hii ni NAFSI.

Sasa tafakari.
 
Umeteleza kidogo tu ndugu kwa lugha nyingine japo si maridhawa watu huita hii ni NAFSI.

Sasa tafakari.
Maandiko yanasema kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake mwenyewe,kama unarubuniwa ufanye vitu inaleta maswali?!!
 
TABIA MBAYA SANA KUUCHAFUA UISLAM NA KUTAKA KUTAFSIRI QURAAN KWA MASLAHI YAKO YA KIGANGA NA HILO NDIO LINALETA KUUCHAFUA UISLAMU

Si mimi niliyezungumza habari za Qareen ni MTUME MUHAMMAD (S.A.W) sasa kama yeye ameuchafua uislam kwa kusema au kama ni mganga, sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…