Kila anayepinga ufisadi anaitwa Sukuma Gang. Je, hao wanaopambana kutetea ufisadi, wao ni nani?

Salute, kwa sasa ktk mitandao ya kijamii,kila anayejaribu kulalamikia utawala uliopo kwa ufisadi ,anaitwa sukuma gang!

Anayelalamika ugumu wa maisha na kupanda bei kwa vitu ni Sukuma gang,!

Anayelalamika serikali kutowajibija anaitw sukuma gang!

Wanaitwa sukuma gang kwa kuamini kuwa ni wafuasi wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati John pombe magufuli, kwa sababu jpm kupinga ufisadi, uzembe kazini,rushwa,na kutokuwajibika,ndio ilikuwa kazi yake.

Je, hawa wanawaita wenzao sukuma gang,je wao ni nani? Wanawakilisha kundi gani?

Karibuni, mapovu na matusi kwa wasio na hekima RUKSA.
Hao nao wana kundi lao, inawezeka ndo waleeeee chawaaaaa
 
Muhimu ni Doto James anakula mema ya Nchi kuanzia enzi za JPM mpaka sasa kwa Mama Samia.Wewe kaa na akili zako ambazo hazina msaada sana kwake
So maadam sukuma gang mwenzako anakula mema ya nchi bila kujali ufisadi wake hakuna noma? Basi poa
 
Hakuna sukuma gang yoyote anayepinga ufisadi bali mnaleta nongwa baada ya kupotezwa kwenye ulaji. Dhalimu mwenyewe hakuwahi kupambana na ufisadi, bali alipambana na matumizi ya neno fisadi.
Halafu mwisho wa siku CCM ni ile ile
 
Ila wanaomchukia Magufuli wanapata stress sana kwa sababu huku mitandaoni ndio sehemu yao pekee ya kumueleza vyovyote hata kumtukana huyo Magufuli ila wanakutana na wenye kumtetea na kumpenda huyo Magufuli, kuna watu wanasema huyu ndio alikuwa Rais pekee ambaye anasemwa sana kuliko wengine ila wanasahau pia kuwa Magufuli pamoja na kufa ila ndio alikuwa rais ambaye ana mashabiki wengi na wenye kumtetea hadi sasa kuliko marais wengine.
 
Salute, kwa sasa ktk mitandao ya kijamii,kila anayejaribu kulalamikia utawala uliopo kwa ufisadi ,anaitwa sukuma gang!

Anayelalamika ugumu wa maisha na kupanda bei kwa vitu ni Sukuma gang,!

Anayelalamika serikali kutowajibija anaitw sukuma gang!

Wanaitwa sukuma gang kwa kuamini kuwa ni wafuasi wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati John pombe magufuli, kwa sababu jpm kupinga ufisadi, uzembe kazini,rushwa,na kutokuwajibika,ndio ilikuwa kazi yake.

Je, hawa wanawaita wenzao sukuma gang,je wao ni nani? Wanawakilisha kundi gani?

Karibuni, mapovu na matusi kwa wasio na hekima RUKSA.

..kila anayetetea UKATILI na MAUAJI dhidi ya wapinzani anaitwa Sukuma Gang.
 
Mlijifanya miungu watu na kudharau makabila mengine tz hiyo dhambi haitatoka kwenu

Yule alikuwa anaweka kabila lake kila kona nao wakafurahi wasijue anawachimbia kaburi refu sana

Aibu itawakaa milele
Na sisi ambao hatufungamani na sukuma na zenji gang tukikemea upumbavu wenu wote mkae kwa utulivu. Yaani wewe umepewa utashi wa kujua mema na mabaya lakini umeshindwa kuutumia hadi mnaitwa "CHAWA" na bado mnakenuwa meno tu huku mkimsifia na kumuabudu....hovyo kabisa!
 
Salute, kwa sasa ktk mitandao ya kijamii,kila anayejaribu kulalamikia utawala uliopo kwa ufisadi ,anaitwa sukuma gang!

Anayelalamika ugumu wa maisha na kupanda bei kwa vitu ni Sukuma gang,!

Anayelalamika serikali kutowajibija anaitw sukuma gang!

Wanaitwa sukuma gang kwa kuamini kuwa ni wafuasi wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati John pombe magufuli, kwa sababu jpm kupinga ufisadi, uzembe kazini,rushwa,na kutokuwajibika,ndio ilikuwa kazi yake.

Je, hawa wanawaita wenzao sukuma gang,je wao ni nani? Wanawakilisha kundi gani?

Karibuni, mapovu na matusi kwa wasio na hekima RUKSA.
Achana na hao vijana utapoteza muda wako tu,halafu wengi wamejificha humu tu.
 
Hela alizotumia kwenye hiyo miradi zilitoka kwenye benk dunia kwa hiyo wajinga ni nyie mliosikiliza porojo zake kuwa nchi imekuwa uchumi wakati kila siku mko ulaya kutafuta wahisani
Alijitangaza yeye??!!, mbona huufichi ujinga wako?!, uchumi wa kati unajiingiza wewe?, mabaradhuri hamtaisha,
 
Salute, kwa sasa ktk mitandao ya kijamii,kila anayejaribu kulalamikia utawala uliopo kwa ufisadi ,anaitwa sukuma gang!

Anayelalamika ugumu wa maisha na kupanda bei kwa vitu ni Sukuma gang,!

Anayelalamika serikali kutowajibija anaitw sukuma gang!

Wanaitwa sukuma gang kwa kuamini kuwa ni wafuasi wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati John pombe magufuli, kwa sababu jpm kupinga ufisadi, uzembe kazini,rushwa,na kutokuwajibika,ndio ilikuwa kazi yake.

Je, hawa wanawaita wenzao sukuma gang,je wao ni nani? Wanawakilisha kundi gani?

Karibuni, mapovu na matusi kwa wasio na hekima RUKSA.
Kwanza sukumu gang baba yao alikuwa jizi mkuu na sio Kila anayepinga ufisadi anaitwa Sukuma gang hebu usitufananishe na vitu vya hivyo
 
Salute, kwa sasa ktk mitandao ya kijamii,kila anayejaribu kulalamikia utawala uliopo kwa ufisadi ,anaitwa sukuma gang!

Anayelalamika ugumu wa maisha na kupanda bei kwa vitu ni Sukuma gang,!

Anayelalamika serikali kutowajibija anaitw sukuma gang!

Wanaitwa sukuma gang kwa kuamini kuwa ni wafuasi wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati John pombe magufuli, kwa sababu jpm kupinga ufisadi, uzembe kazini,rushwa,na kutokuwajibika,ndio ilikuwa kazi yake.

Je, hawa wanawaita wenzao sukuma gang,je wao ni nani? Wanawakilisha kundi gani?

Karibuni, mapovu na matusi kwa wasio na hekima RUKSA.
Ni masukumagang kweli kwa sababu msukuma mwenzao na ndiye wanayemtetea kijana lakini ukweli ni kuwa Lucifer Magufuli alikuwa fisadi na mwizi kama majizi mengine tu kisha akaongeza sifa ya ukatili uliopindukia, mauaji na unyang'anyi!
 
Salute, kwa sasa ktk mitandao ya kijamii,kila anayejaribu kulalamikia utawala uliopo kwa ufisadi ,anaitwa sukuma gang!

Anayelalamika ugumu wa maisha na kupanda bei kwa vitu ni Sukuma gang,!

Anayelalamika serikali kutowajibija anaitw sukuma gang!

Wanaitwa sukuma gang kwa kuamini kuwa ni wafuasi wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati John pombe magufuli, kwa sababu jpm kupinga ufisadi, uzembe kazini,rushwa,na kutokuwajibika,ndio ilikuwa kazi yake.

Je, hawa wanawaita wenzao sukuma gang,je wao ni nani? Wanawakilisha kundi gani?

Karibuni, mapovu na matusi kwa wasio na hekima RUKSA.
Wanabodi,
As days goes by, hizi issues za hii kitu inayoitwa Sukuma Gang is escalating to the point of unbecoming!. Sukuma gang ni itikadi siyo kabila
Sukuma gang ni itikadi liyoasisiwa na Magufuli inayoamini katika ukatili unaohusisha matusi, utekaji, uporaji, mauaji na uonevu.
Si kweli!. The Sukuma Gang ni a fictitious Group that doesn't exist in reality lililobiniwa na yule Kigogo wa Twitter na watu wajinga wajinga wenye akili fupi wakaamini hili kundi ni kweli lipo!. Kiukweli kabisa Sukuma Gang sio kundi la kweli, halipo popote and don't exist anywhere in reality except ndani ya vichwa vya watu waliofilisika kisiasa!.
Kwahiyo itikadi hii isihusishwe na kabila la Wasukuma. Mfano, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ndugu Sabaya yeye ni Sukuma gang lakini siyo Msukuma. Wengine ni Polepole, Ndugai, Bashiru, Mnyeti, Happi, Kabudi, n.k.
Pia sii kweli!, bali baada ya Kigogo wa Twitter kuliasisi kundi hili fictitious, akatumia nguvu kubwa kulifanyia indoctrination kuwa hili kundi does real exist, hivyo wale watu wa Magufuli na watu wote wanaomsupport Magufuli wakawa pointed kuwa ni members wa Sukuma Gang, hata mimi ni Msukuma, na namsupport Magufuli na sio Sukuma Gang!.
Lakini wapo Wasukuma ambao pia ni wafuasi watiifu wa itikadi hii ya sukuma gang. Sina haja ya kuwataja.
Hakuna kitu kama hiki, ila kwa vile indoctrination ya existence ya uwepo wa kundi hili imefanyika na watu wenye akili fupi waliofilisika kisiasa wakaamini', kama na wewe unaamini kuwa kundi la Sukuma Gang kweli lipo and does exist in reality, ujijue ni akili fupi and muflis kisiasa kama wale muflis wengine wote wanaoamini ujinga huu!
Nimeandika haya ili kuondoa dhana inayotaka kujengwa na baadhi ya watu ama kwa upotoshaji wa makusudi au kwa bahati mbaya kuwa kuwachukia wafuasi wa Sukuma gang ni kuchukia Wasukuma. Hili siyo jambo zuri na kufanya hivyo ni kupanda mbegu ya ukabila.
Hapa nakuunga mkono!.
Mm Sexless mwandishi wa uzi huu nawachukia Sukuma gang na muasisi wao ingawa nami ni Msukuma.
Kumchukia mtu yoyote kwasababu yoyote sio jambo jema!. Dini zinatufunza hata adui mpende!. Hivyo it's not right kumchukia mtu yoyote!.

Japo hii shana ya the existence of the Sukuma Gang ni dhana tuu, na the Sukuma Gang ni just a fictitious Group that doesn't exist in reality, lakini kufuatia indoctrination iliyofanywa na yule Kigogo wa Twitter, watu wenye akili ndogo, akili fupi na waliofilisika ki fikra, wakaamini, hivyo chuki dhidi ya Wasukuma is real!. Hili sio jambo jema!.

Kufuatia kabila la Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa Tanzania kuliko makabila yote, zikitokea nafasi zozote za uongozi, na watu wote wako huru kugombea, obviously Wasukuma pia lazima watakuwepo.

Kulitokea nafasi fulani za uongozi ndani chama fulani, wakajitokeza wagombea 186 kugombea nafasi 8 aa uongozi. Miongoni mwa waliojitokeza walikuwepo Wasukuma wengi tuu ila mimi nawajua kulikuwa na Wasukuma wawili ambao kama wangepitishwa wangetupatia wawakilishi wazuri the best of the best.

Ikasemekana kuwa mmoja kati ya hao Wasukuma wawili ni member wa the Sukuma Gang!. Then kwenye mchujo ikaelezwa kuwa wamepewa maelekezo hatua ya kwanza kabisa ni kuwakata Wasukuma wote waliojitokeza!. Na kweli Wasukuma woote tukakatwa eti ni Sukuma Gang!. This is not fair at all!. Taifa linakosa uwakilishi wa watu wazuri kwa ubaguzi wa kijinga kabisa!.

Na katika hili naomba na mimi nijiunge kwenye kukemea hii sumu ya ubaguzi mbaya kabisa ya kuwabagua Wasukuma kwa kisingizio cha Sukuma Gang, na naomba kutamka kama kuna Msukuma yoyote popote ameadhibiwa au kubaguliwa kwa kisingizio ni member wa the Sukuma Gang, then dhambi hiyo ya ubaguzi, itawatafuna wabaguzi hao kupitia kitu kinachoitwa karma!. Karma haina mswalie Mtume wala haijali nani ni nani!.

P
 
Back
Top Bottom