naamini wote mu wazima wa afya.
kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake.
mimi huwa nina tabia ya kuangalia sana tabia ya mtu sasa kila anayenifuata naona hana vigezo na wengi nawaona wananitamani tu.
hii hali inanitesa sana kwamaana najikuta wanaonifuata ni wengi lakini bado upweke unanitesa.
mawazo yako yatakayojenga please.
tatizo lako bidada wewe ni mzuri sana na chaguo lako unataka mwanaume ambaye unaendana nae awe na sifa unazozitaka wewe ambacho ni kitu kisichowezekana hao wenye sifa unazotaka ni wachache mno utajikuta mda unaenda bado hujapata mme hilo ni tatizo la kiintelgensia unahitaji mawazo mbadala yenye high effinity,chamsingi ni pm nikupe ushauri mzurinaamini wote mu wazima wa afya.
kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake.
mimi huwa nina tabia ya kuangalia sana tabia ya mtu sasa kila anayenifuata naona hana vigezo na wengi nawaona wananitamani tu.
hii hali inanitesa sana kwamaana najikuta wanaonifuata ni wengi lakini bado upweke unanitesa.
mawazo yako yatakayojenga please.
pole sana dada yangu, hakuna mtu mkamlifi, na hata wewe si mkamilifu pia, kuto kuvumilia mapungufu ya mtu pia ni upungufu, na mtu akikufata haina maan wewe umekidhi vigezo vyote...hakuna maisha ya uhusiano yaliyo nyooka, angalia mazuri ya mtu kama yana zidi ubaya unaweza kuungana naye
naamini wote mu wazima wa afya.
kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake.
mimi huwa nina tabia ya kuangalia sana tabia ya mtu sasa kila anayenifuata naona hana vigezo na wengi nawaona wananitamani tu.
hii hali inanitesa sana kwamaana najikuta wanaonifuata ni wengi lakini bado upweke unanitesa.
mawazo yako yatakayojenga please.
Bibie kutokana na maelezo yako una Jini mahaba ndişo anayekusumbuwa usipate mchumba na unaweza kukaa hivyo hivyo bila ya kupata mchumba ukawa kila siku unachaguwa wachumba na hukai nao kabisa.naamini wote mu wazima wa afya.
kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake.
mimi huwa nina tabia ya kuangalia sana tabia ya mtu sasa kila anayenifuata naona hana vigezo na wengi nawaona wananitamani tu.
hii hali inanitesa sana kwamaana najikuta wanaonifuata ni wengi lakini bado upweke unanitesa.
mawazo yako yatakayojenga please.
Vipi Mkuu HP1 hujambo lakini?