sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
Duh! Hapo tunajipanga kuogelea kwenye mto umba kule mlalo. Na ule mchanga kama baharini vile.
ubarikiwe.Mkuu englibertm uko juu sana na asante sana kwa kuifanya JF sehemu nzuri sana,hizo picha zako kila siku zinatukosha kwa kweli!
Kwa mfano ukiambiwa ni wabunge wetu wako JKT utaweza kunitajia majina yao? Huyo wa kwanza angekua nani?
Ha ha ha ha jamani hii olimpiki ya wapi?
Umekauka bhana nowadays naskia umejza mchanag tu, Umba River si ndio unaenda kwenye ile Mbuga ya wanyama kule Lushoto nimeisahau jina, hotateiiiii itabidi nirudi kidogo
Olimpiki ya kipori pori.........enzi zetu tulikuwa tunashindana sana mtoni, baada ya kuoga.😛hoto:
Bila ya nguo au hahaaaahahah
Hahahhhhahha watatu kutoka kushoto ilo pozi hhahaha na chululu inaning'inia
Mtoni sijawahi labda baharini eeeh naogelea na nguoKwani wewe huwa unaogeleaga na nguo mtoni na nguo ??????
Mimi nilifikiri chululu ni kamsemo ka familia yetu kumbe hata wewe unaijua? Labda tuna uhusiano