Bwana Hasara nimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia inabidi nikupe "laivu" mzee , tunataka substance, accusation peke yake hazitoshi
Ukileta accusation jenga hoja basi japo kidogo. ili kutuonyesha kwa nini umesema hayo uliyoyasema.
Sasa unapowaomba msaada Mabalozi mbona haupo specific? unataka msaada gani? ,unataka hao mbalozi ndo wawe serikali yetu?
EL kafanya nini?. mbona hujasema hivi recent EL kafanya kitu gani kibaya?
Bwana Hasara ,Tathmini ya haki haina budi kujengwa katika misingi ya mchakato wa kimantinki, mantiki hii si tu kwamba haina budi kuwa ndani ya kanuni za kisayansi bali pia iwe ndani ya kweli tunazozijua! Sasa mambo ya EL kupanga mambo ya kufanya ya NEC yanahusiana vipi na utendaji wa maamuzi ya kiserikali ya JK?
Hasara Jenga hoja ndugu usilete vioja!
we ni mwanausalama..?wameanza kuburuzwa kwenye vyombo vya dola. Leo Lowassa yuko kwa DCI
ndio. usalama mahali pa kaziwe ni mwanausalama..?
udukuzindio. usalama mahali pa kazi
Mkuu nakuona tangu kitamboBwana Hasara nimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia inabidi nikupe "laivu" mzee , tunataka substance, accusation peke yake hazitoshi
Ukileta accusation jenga hoja basi japo kidogo. ili kutuonyesha kwa nini umesema hayo uliyoyasema.
Sasa unapowaomba msaada Mabalozi mbona haupo specific? unataka msaada gani? ,unataka hao mbalozi ndo wawe serikali yetu?
EL kafanya nini?. mbona hujasema hivi recent EL kafanya kitu gani kibaya?
Bwana Hasara ,Tathmini ya haki haina budi kujengwa katika misingi ya mchakato wa kimantinki, mantiki hii si tu kwamba haina budi kuwa ndani ya kanuni za kisayansi bali pia iwe ndani ya kweli tunazozijua! Sasa mambo ya EL kupanga mambo ya kufanya ya NEC yanahusiana vipi na utendaji wa maamuzi ya kiserikali ya JK?
Hasara Jenga hoja ndugu usilete vioja!
Mkuu nakuona tangu kitambo
yerewiiiLowassa awekwe Mahabusu ya Kibiti kwa Usalama wake!
unataka iskoti yote ipotee ?Lowassa awekwe Mahabusu ya Kibiti kwa Usalama wake!