Kikwete yupo hai ?

Hasara

Senior Member
Dec 29, 2006
138
9
jamani watanzania huyu Rais wa Tanzania yuko hai au amesafiri tena kwenda kwenye sayari nyingine ,haya madudu serikali yake inafanya anayajua jamani, hizo ziara ya mawaziri, mbona ni aibu kubwa kwa utawala wake,

LOWASSA ndiye anaye panga haya mambo na kufanya kampani ya NEC, ina maana huyu JK atumii kichwa chake awezi kuona EL anampeleka porini , jamani mabalozi wa nje wanao fanya kazi hapo Tanzania tunaomba msaada kwa hii serikali ya ......., watusaidie sasa tumepotea njia .

hatukujua tuma uongozi wa namna hii, mbona JK unaonekana una akili sana huyo EL amekupa nini au ni urafiki tu.

hii ni aibu kwabwa sana siwezi hata kuandika nitaongea vibaya na bado nina mpenda Rais wangu.

kwa herini....
 
Bwana Hasara nimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia inabidi nikupe "laivu" mzee , tunataka substance, accusation peke yake hazitoshi

Ukileta accusation jenga hoja basi japo kidogo. ili kutuonyesha kwa nini umesema hayo uliyoyasema.

Sasa unapowaomba msaada Mabalozi mbona haupo specific? unataka msaada gani? ,unataka hao mbalozi ndo wawe serikali yetu?

EL kafanya nini?. mbona hujasema hivi recent EL kafanya kitu gani kibaya?

Bwana Hasara ,Tathmini ya haki haina budi kujengwa katika misingi ya mchakato wa kimantinki, mantiki hii si tu kwamba haina budi kuwa ndani ya kanuni za kisayansi bali pia iwe ndani ya kweli tunazozijua! Sasa mambo ya EL kupanga mambo ya kufanya ya NEC yanahusiana vipi na utendaji wa maamuzi ya kiserikali ya JK?

Hasara Jenga hoja ndugu usilete vioja!
 
i think he was trying to complain abt safari zilizoandaliwa na EL za mawaziri kwenda mikoani kwa hela za wananchi kusafisha jina la chama chetu tawala cha "Chukua Chako Mapema" kwa kifupi "C.C.M"
 
Bwana Hasara nimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia inabidi nikupe "laivu" mzee , tunataka substance, accusation peke yake hazitoshi

Ukileta accusation jenga hoja basi japo kidogo. ili kutuonyesha kwa nini umesema hayo uliyoyasema.

Sasa unapowaomba msaada Mabalozi mbona haupo specific? unataka msaada gani? ,unataka hao mbalozi ndo wawe serikali yetu?

EL kafanya nini?. mbona hujasema hivi recent EL kafanya kitu gani kibaya?

Bwana Hasara ,Tathmini ya haki haina budi kujengwa katika misingi ya mchakato wa kimantinki, mantiki hii si tu kwamba haina budi kuwa ndani ya kanuni za kisayansi bali pia iwe ndani ya kweli tunazozijua! Sasa mambo ya EL kupanga mambo ya kufanya ya NEC yanahusiana vipi na utendaji wa maamuzi ya kiserikali ya JK?

Hasara Jenga hoja ndugu usilete vioja!

ujambo kijana wewe ni mtanzania kweli, unaijua serikali ya Tanzania, sasa wewe subiri yanayojiri....
 
Bwana Hasara nimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia inabidi nikupe "laivu" mzee , tunataka substance, accusation peke yake hazitoshi

Ukileta accusation jenga hoja basi japo kidogo. ili kutuonyesha kwa nini umesema hayo uliyoyasema.

Sasa unapowaomba msaada Mabalozi mbona haupo specific? unataka msaada gani? ,unataka hao mbalozi ndo wawe serikali yetu?

EL kafanya nini?. mbona hujasema hivi recent EL kafanya kitu gani kibaya?

Bwana Hasara ,Tathmini ya haki haina budi kujengwa katika misingi ya mchakato wa kimantinki, mantiki hii si tu kwamba haina budi kuwa ndani ya kanuni za kisayansi bali pia iwe ndani ya kweli tunazozijua! Sasa mambo ya EL kupanga mambo ya kufanya ya NEC yanahusiana vipi na utendaji wa maamuzi ya kiserikali ya JK?

Hasara Jenga hoja ndugu usilete vioja!
Mkuu nakuona tangu kitambo
 
Back
Top Bottom