Kikwete: Watu wananilisha maneno, mimi namuunga mkono rais Magufuli na Serikali yake

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Heshima kwenu wakuu,

Aliyekuwa rais wa Tanzania Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, amesikitishwa na tabia ya watu kumlisha maneno ambayo hajasema hasa watu wa mtandaoni. Anaomba aachwe apumzike.
IMG_20161028_065403.jpg

"Nasikitishwa na matumizi mabaya ya picha zangu mtandaoni hususani watu kunilisha maneno kutaka kutimiza malengo yao ya kisiasa.

Nimestaafu naomba niachwe nipumzike. Nisingependwa kuhusishwa na siasa za mtandaoni dhidi ya Serikali. Namuunga mkono Rais na Serikali yake"

Hivi karibuni Kikwete alinukuliwa akitoa kauli tata iliyizua gumzo mtaani hasa pale aliposema
"Ukiwa Kiongozi mpya ni lazima uonekane kweli mpya na mambo yako yawe mapya".

My Take:

Najiuliza kwanini Watanzania tunashindwa kusimamia ukweli? Niliona mwenyewe video akiongea maneno, au video ilikuwa edited?

Dunia simama nishuke.
 
Heshima kwenu wakuu,

Aliyekuwa rais wa Tanzania Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, amesikitishwa na tabia ya watu kumlisha maneno ambayo hajasema hasa watu wa mtandaoni. Anaomba aachwe apumzike.
View attachment 425406
"Nasikitishwa na matumizi mabaya ya picha zangu mtandaoni hususani watu kunilisha maneno kutaka kutimiza malengo yao ya kisiasa.

Nimestaafu naomba niachwe nipumzike. Nisingependwa kuhusishwa na siasa za mtandaoni dhidi ya Serikali. Namuunga mkono Rais na Serikali yake"

Hivi karibuni Kikwete alinukuliwa akitoa kauli tata iliyizua gumzo mtaani hasa pale aliposema
"Ukiwa Kiongozi mpya ni lazima uonekane kweli mpya na mambo yako yawe mapya".

My Take:

Najiuliza kwanini Watanzania tunashindwa kusimamia ukweli? Nliona mwenyewe video akiongea maneno, au video ilikuwa edited?

Dunia simama nishuke.
Amenukuliwa vibaya...!
 
kikwete anamuogopa Magu ,anamjua mwenyewe Magu akianza kumponda
 
Ikiwa bavicha walikuwa wanatengeneza picha za mafuriko hewa wakati wa uchaguzi watashindwaje kumlisha maneno Jk,
 
HE Kikwete....bado anayo support kubwa ya watanzania hata wapinzani wanamkumbuka pia sisi wa upande huu bado tunamkumbuka sana
 
Heshima kwenu wakuu,

Aliyekuwa rais wa Tanzania Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, amesikitishwa na tabia ya watu kumlisha maneno ambayo hajasema hasa watu wa mtandaoni. Anaomba aachwe apumzike.
View attachment 425406
"Nasikitishwa na matumizi mabaya ya picha zangu mtandaoni hususani watu kunilisha maneno kutaka kutimiza malengo yao ya kisiasa.

Nimestaafu naomba niachwe nipumzike. Nisingependwa kuhusishwa na siasa za mtandaoni dhidi ya Serikali. Namuunga mkono Rais na Serikali yake"

Hivi karibuni Kikwete alinukuliwa akitoa kauli tata iliyizua gumzo mtaani hasa pale aliposema
"Ukiwa Kiongozi mpya ni lazima uonekane kweli mpya na mambo yako yawe mapya".

My Take:

Najiuliza kwanini Watanzania tunashindwa kusimamia ukweli? Nliona mwenyewe video akiongea maneno, au video ilikuwa edited?

Dunia simama nishuke.

Mmm ati amestahafu???

Naamini mauzauza ya bao la mkono aloipigia CCM katika uchaguzi mkuu ndo yanamuuzauza na kumgharimu...

Wakati ule alipostaafu alipanda helikopta na kuelekea msoga, ni nini kilichomtoa huko na ata mda mwingi sasa kuonekana Dar mitaa ya msasani karibu na H/Q za Zantel, tena katika masuala ya kitaifa nako anaonekana??, mara nasikia kaiwakilisha nchi uko USA, mara akiwatuma vijana wake wa pale Lumumba kumsifia ati kuwa aloyafanya sasa yanashindikana.

Wenye akili za kujiongeza tulimuelewa alimaanisha nini ktk yale yaliyopostiwa na kusomeka katika mitandao, i.e. ulikuwa ukweli mtupu kuwa alimkejeri mukulu
 
Back
Top Bottom