Kikwete wasaidie wazee wako

Kikwete wasaidie wazee wako

Hili ni fundisho kwa vijana. Wazee hawa wanastahili kulipwa mafao yao kwa sababu ni haki yao. Lakini mwaka 1977 wengi wao walikuwa na umri wa chini ya miaka arobaini, ina maana walishindwa kutafuta kazi nyingine ambayo leo hii wangekuwa wanalipwa mafao yake? Kumbuka kuwa miaka hiyo kazi zilikuwa za kumwaga.
Binadamu tunapenda kulaumu wengine bila kufikiri kwa kina.

Unapotafuta chanzo cha matatizo yako cha kwanza jiulize je wewe mwenyewe sio chanzo cha matatizo yako? Kama sio then tafuta wa kumlaumu lakini vilevile tafuta ufumbuzi mwingine haraka iwezekanavyo, usibaki kulaumu,kulalamika hakutakusaidia chochote.
 
Ningekuwa kiongozi wa hii nchi hawa wazee ningewalipa tu hata kama hawadai! Na njia rahisi kabisa kuwalipa ilikuwa ni kuwalipa zile zilizoko Uswizi au ningesitisha mbio za mwenge mwaka mmoja tu na makusanyo yake yangewatosha labda mpaka na kubaki!
 
Hawa wazee si Jk pekee yake!Nadhani hela yao ilikuja wakati wanyerere?Sasa Jk anatatizo gani nao?Sio kwamba namtetea au naona raha wazee kumwaga radhi HAPANA!Walimuogopa MWALIMU JK sasa zimetumika ngoma kuzirejesha!Matatizo(inamaana aliyoyanzisha mwenye awamu hii ya 4!) aliyonayo Kikwete yanamtosha kabisa kwenda resi!Sasa ashughulikie yamwalimu?Yamkapa kayamaliza?
 
Back
Top Bottom