Kikwete: Uvumilivu sasa basi...

Mleta mada yuko sahihi kabisa ila wewe ndo umekaririshwa kuwa kila anachokiamua dhaifu ni sahihi. Hayo masuala ya mrahaba sijui mrabaha hayatuhusu tunachosema gesi ibaki Mtwara! Full Stop! kwani Mtwara ndo hakupendezei kuweka viwanda eh? au mnafikiri sisi wamakondo ndo tuko nyuma kiasi hicho? tumeshajifunza kwa wenzetu wa kanda ya ziwa ambao pamoja na utajiri wa almasi wamebaki kuwa masikini wasio na elimu na wanaishi katika hali ngumu. sasa safari hii hatukubali. Halafu bila aibu unazunguzia suala la watu wa shinyanga kutofaidika na madini halafu bado unahalalisha haya mawazo mfu. Kwenda zako wewe!
 
Achana na huyo darick hana jipya ni wale mavuvuzela tu kila atakachoambiwa anakubali bila kutumia akili yake si kosa lake bali ni baba yao dhaifu ndo kawatuma walete ujinga hapa
 

you are very Right so kuhadaa wamakonde kugomea Gesi kuletwa Dsm kutawafanya wawe ma Engineer? Hata Gesi ichimbwe huko nakuhakikishia watatoka watu maeneo mengine kuchukua ajira hakuna mwekezaji makini Duniani ateacha mfanyakazi mwenye sifa na vigezo kwa hoja za kimakonde, Vyama vyetu havisimamii misingi ya sera vinasimamia misingi ya matukio na ndo mana kikombe cha Babu kilitumika kuhadaa Taifa kwa kuwa kila mtu ni mchambuzi wa matukio sio sera. Ukimuuliza mtu tofauti ya kisera ya vyama vyenu utaskia kupinga ufisadi wengine watakwambia kuimarisha umoja wa kitaifa! Sio bado tuna safari ndefu bali hatujui hata urefu wa safari tunayobishana jinsi ya kuanza!, hivi sasa jamaa wanaweza kuanzisha jambo la kijinga utashangaa Taifa zima likahama toka mtwara kwenda kujadili gesi wakaenda kujadili kulawitiwa wanafunzi hostel.
 

kama unasema 'Gesi ibaki Mtwara full stop' hutaki mjadala umefata nini hapa? Hili ni jukwaa la mijadala hutaki kaa na mawazo yako kichwani hakuna ataekubishia wala kukuuliza. Watu kama wewe ndo mtaji wa ccm japokuwa hujijui unatumikaje kama mtaji!!
 
mtwara wamemkomesha JK kakonda uso kama piritoni ghiriba zake zakujirundikia mali na wanawe na mkewe kwa wamakonde ni stop awachezee huko kanda ya ziwa
 
sera za majimbo ya chadema hiyo ndio inataka kugawanya nchi. nassari anataka kipande chake cha nchi, sugu nae, lema nae yaani hadi balaa

President,mbona kiwango hafifu sana? Umeshindwa kuelwewa mistari michache hivyo!
 

Unakashifu mkuu unless intention yako ni hiyo. By the way mfano wako wa Shinyanga ndiyo watu wa Mtwara na wengine wanalilia usijirejee kila sehemu ambako kuna raslimali. Wanataka mfumo na usimamizi bora zaidi ya huo mrahaba.
 
Unakashifu mkuu unless intention yako ni hiyo. By the way mfano wako wa Shinyanga ndiyo watu wa Mtwara na wengine wanalilia usijirejee kila sehemu ambako kuna raslimali. Wanataka mfumo na usimamizi bora zaidi ya huo mrahaba.

nimetoa mfano wa shinyanga kuelezea kuwa rasilimali hata ikichimbwa kutokea eneo lake ala asili hai gurantee kuwanufaisha wazawa, wazawa wananufaishwa kwa sera!
 
kama unasema 'Gesi ibaki Mtwara full stop' hutaki mjadala umefata nini hapa? Hili ni jukwaa la mijadala hutaki kaa na mawazo yako kichwani hakuna ataekubishia wala kukuuliza. Watu kama wewe ndo mtaji wa ccm japokuwa hujijui unatumikaje kama mtaji!!
anayo hai ya kutoa mawazo yake ingawa ukubaliani nayo kama ambavyo sisi hatukubaliani na ya kwako.

naona umetoa kazi ya injinia kama ndio kigezo cha ajira kukosa watu mtwara naona ww na rafiki yako jk hamjawaelewa watu wa mtwara tena jk amekwenda mbali na kuingiza ukabila ndani yake ili kuchafua hoja ya wana mtwara. wanachokitaka wao ni viwanda hivyo kujengwa mtwara ili mtwara ifaidike bila kujali kabila la mtu.
ajira ulizoziacha kwenye maoni ambazo haziitaji elimu kubwa.
usafi wa chemicals
udereva
folklift operators
walinzi
pipers
pump operators
gaugers
drafters
data entry
and so on ........na kazi zingine zitakazozalishwa na ajira hizo ni pamoja na
mahoteli ya vyakula
ujenzi wa majumba
supplies wa bidhaa mbalimbali
majumba ya starehe
biashara za magari ambayo nayo uongeza vituo vya mafuta navyo uzalisha ajira nyingine nyingi tu
 
-ni kweli mimi ndo nilianzisha udini,
-ni kweli mwanangu ndo alisema kuwa rais ajaye hatotoka kaskazini,
- Ni kweli mwanangu ndiye aliyeshikwa na...............................,
-watekaji wa ulimboka ni siri ya taifa na yeyote atakaye hatarisha usalama wa taifa atatekwa na baadae kuachiwa.anaebisha na ajaribu;hakika atawahadithia wenzake.
-walio ua wananchi wasiona hatia kwa makusudi wanatakiwa washughulikiwe vilivyo.
-walioua wananchi kwa bahati mbaya katika mazingira ya fujo wanatakiwa wapewe onyo la kuwa makini wakati mwengine.
-wanaofanya matendo yanayoweza kupelekea watu kupoteza maisha nao wanatakiwa waache kufanya hivyo mara moja.
 
Kuhusu gesi
Rais Kikwete alizungumzia suala la rasilimali za taifa na kusisitiza kuwa pia hatavumilia kuona wanasiasa wakitumia suala la gesi kujitafutia umaarufu.

JK atakumbukwa kuwa Raisi asiyejua utawala bora......................hizi ni siasa za ushindani yawaje sassa aseme uvumilivu sasa wa kujadiliana matumizi bora ya rasimali za taifa umekwisha.........
 
nimetoa mfano wa shinyanga kuelezea kuwa rasilimali hata ikichimbwa kutokea eneo lake ala asili hai gurantee kuwanufaisha wazawa, wazawa wananufaishwa kwa sera!

Mkuu pamoja na kujitahidi kujibu post nyingi naona kama unajichanganya tu. Sikuelewi sijui wenzangu
 
JK IQ yake ni below 20. Kwa hiyo watanzania mnaongozwa na idiot!
 
MM! hizo lugha za JK ndizo zijulikanazo kama siasa rejareja!!

this is silly; amejuaje zinatosha? walikuwa na kiwango walichotaka kufikia au kulikuwa na kiasi ambacho kilikuwa kinaweza kuvumilika na sasa kimepitilizwa?
 
 
We nawe u-kilaza mwingine Watu walio iba pesa za EPA wazirudishe tu! sasa wewe tofauti yako na DHAIFU ni ipi? ikiwa nae ali amua hayohayo.
Suala la MTWARA we kilaza unapotosha UMMA na kuwa tusi wana Mtwara Kwa sababu wao hawajasema GESI ITUMIKE MTWARA tu,wewe ni MARUHUNI unatumiwa kupotosha watu,WANA MTWARA WANASEMA UMEME UZALISHWE MTWARA NA UTUMIKE POPOTE KWA MASLAHI YA TAIFA.
Umaskini ni janga liloletwa na CCM(CHAMA CHA MAFISADI).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…