Kuanzia Kikwete aingie madarakani, mfumo wa kisiasa ndani ya CCM umekuwa wa kutisha sana kiasi kuwa sioni njia njema mbele yetu. Akitoka Kikwete, naona kama vile tutapata watu kama Lowassa.Rostam, Nchimbi, Makamba au Mahanga au Guninita, and the list goes on. Watu hawa wasingewamo kwenye list ya Salim. Ni kweli kuwa Dr. Salim kama binadamu mwingine yeyote ana udhaifu wake, lakini asingekuwa na udhaifu mkubwa kama huu wa Kikwete.
Kwa maoni yangu binafsi sehemu kubwa ya kushindwa kwa Kikwete kunatokana na expectations za watu walizokuwa nazo juu yake.
Nafikiri wakati umefika wa kuanza kuonesha kuwa ni kwanini CCM is irrelevant linapokuja suala la mabadiliko.
If CCM decides to feature Kikwete in 2010, it will not only be an insult to most of its supporters, but will definitely make it irrelevant as a party intending to bring maendeleo to TZ.
He is not qualified even for a deputy minister's position.........
True,
I knew this guy was a playboy, and I believed that a serious person like Dr Salim would easily crush him; but I was wrong. Tanzania seems to be a country of playboys and playgirls, and we ended up choosing a playboy who speaks our tone. So?
Tuliyataka wenyewe. Kuna wimbo uliimbwa na mlimani park mwanzoni mwa miaka ya themanini huu hapa:
http://www.youtube.com/watch?v=UsfXcyuquhA
Kuanzia Kikwete aingie madarakani, mfumo wa kisiasa ndani ya CCM umekuwa wa kutisha sana kiasi kuwa sioni njia njema mbele yetu. Akitoka Kikwete, naona kama vile tutapata watu kama Lowassa.Rostam, Nchimbi, Makamba au Mahanga au Guninita, and the list goes on. Watu hawa wasingewamo kwenye list ya Salim. Ni kweli kuwa Dr. Salim kama binadamu mwingine yeyote ana udhaifu wake, lakini asingekuwa na udhaifu mkubwa kama huu wa Kikwete.
well the other option is Lowassa.
Dr. Salim Ahmed Salim is one of the best presidents Tanzania never had.