Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
Uko sawahuna haja ya kuumia mkuu. endelea kufanya mambo yako. jieleze tu kuwa hapa tumepotea kabisa. jipange ili safari ijayo yasitokee tena yaliyotokea sasa. vinginevyo utakufa kwa presha wakati wenyewe wala vyao
Kikwete ni mtu wa hivi hiviInakuwaje uteuzi wako wote ukanyooshewa vidole? Unamwakilisha nani hapo? kama ni wananchi mbona watu tuliowakataa kwenye kura wewe unawapa madaraka?
Mimi kwa kweli inaniuma sana hasa kipindi hiki cha huyu jamaa.
Basi bwana; weye mshindi . . . .
Kwani kukosa ubunge tena kwenye ngazi ya kura za maoni ni disqualification ya kwamba mmuhusika hafai kwa kazi au uiongozi wa ngazi yoyote.Tuache siasa za maji taka na fitina . Mbunge katika jimbo ni mmoja hivyo haina maana watu wote kayika jimbo hilo hawafai kuwa viongozi. Pia tusichanganye suala la mtu kuchaguliwa na kuwa na sifa. sio lazima wale wanaochaguliwa kuwa wabunge ndio the best materials
Kafanye kazi acha kulalamika.Inakuwaje uteuzi wako wote ukanyooshewa vidole? Unamwakilisha nani hapo? kama ni wananchi mbona watu tuliowakataa kwenye kura wewe unawapa madaraka?
Mimi kwa kweli inaniuma sana hasa kipindi hiki cha huyu jamaa.
Basi bwana; weye mshindi . . . .
wewe mleta mada unamaanisha hata yule rapa wa kule mbeya na yule jambazi wa mtandao wa magari kule Arusha kwa kisa tu wamechaguliwa na wale machalii wa Arusha na Mbeya ni viongozi bora kuliko wale ambao hawakuchaguliwa? Poor thinker.
wewe john kujua kiingereza hakuna uhusiano na kuwa Dr. kule china, Ufaransa na Japani kuna maprofessor wengi sana ambao hawajui kiingereza. Au wewe ndo wale wa yes yes mzungu kala mafenesi? English is just a language, the same as Kiswahili et al.Wewe mtu anajiita doctor kingereza cha kuunga?
hata kama hatukubaliani na hiyo timu uipendayo ila kwa mawazo tunakubaliana!Tatizo ni kuwa kuna watu wanaamini kuwa atabadilika
wewe john kujua kiingereza hakuna uhusiano na kuwa Dr. kule china, Ufaransa na Japani kuna maprofessor wengi sana ambao hawajui kiingereza. Au wewe ndo wale wa yes yes mzungu kala mafenesi? English is just a language, the same as Kiswahili et al.