Mjadala kuhusu issue ya Dr Mwakyembe kuondolewa pale uchukuz uko kila mahali na maswali ni mengi sana kuliko majibu. Ni shida kwa kweli.
usijali sana atawaletea jumuia ya afrika mashariki huko huko kyela.wananchi wa jimbo la kyela tulipata faraja kubwa baada ya kukabidhiwa wizara hii, umeshindwa kuiga kwa mawaziri wenzio,
Mjadala kuhusu issue ya Dr Mwakyembe kuondolewa pale uchukuz uko kila mahali na maswali ni mengi sana kuliko majibu. Ni shida kwa kweli.
Nafikiri jamaa alitaka apelekewe reli kyela
Mbombo ngafu!
wananchi wa jimbo la kyela tulipata faraja kubwa baada ya kukabidhiwa wizara hii, umeshindwa kuiga kwa mawaziri wenzio,
Wewe uanashindwa kuona kwamba alihangaika sana na TAZARA sio ndio inakwenda huko kwenu? na Songwe airport havitoshi tu hivi?
Kama huijui Kyela nyamaza tafadhali
Kyela tuna bandari HAJAWAHI igusa hata kwa miundo mbinu kila siku tunaona anaimarisha bandai ya Dar,Mwanza na Tanga
Kyela tuna meli chakavu zinazo zima katikati ya ziwa kila siku lkn ni Mwakyembe aliyeipa Mwanza hela za meli mpya!
Mwakyembe ni mbunge wa hovyo hovyo kupata kutokea ktk Wilaya ya Kyela na hawezi shinda hata kura za maoni
achilia mbali kupambana na CHADEMA
Mbona muhongo kapewa nishati na madini kapeleka umeme kwao mpaka leo wanamuona shujaa wakati wengine tunamuona jambazi.
ngafu fijo mkamu ghwangu.
wananchi wa jimbo la kyela tulipata faraja kubwa baada ya kukabidhiwa wizara hii, umeshindwa kuiga kwa mawaziri wenzio,
Ughonile nkamu?ulinkafu?
Mbona muhongo kapewa nishati na madini kapeleka umeme kwao mpaka leo wanamuona shujaa wakati wengine tunamuona jambazi.