Kikwete umejisikiaje Dr. Ulimboka alivokukatalia kwenda kumuona?

Zile pesa ulizotumia kupata urais hazina uhusiono wowote na maamuzi ya watanzania walioamka!kuomba kwenda kumuona Dr Ulimboka haina maana toa maamuzi sahihi watu watakuheshimu!kamata msangi na wenzake(wamechemsha) hawako proffesional kabisa maana deal lime back fire hakuna jinsi kuwaweka rumande kama zombe!angalau!kazi kwako maana Msangi alitegemea baada hili sakata atakuwa RPC!!!!
Msangi kwa sasa ni Deputy DCI_Zanzibar anatroti tu
 
JK mimi sijawahi kujua kama ana uwezo hata wa kuongoza familia yake nina wasiwasi mkubwa na huyu jamaa maana uwezo wake ni utata kwa mwenye kumfahamu atupe zaidi maana kazi zake ni DHAIFU kama yeye alivyo DHAIFU.
Aisee
 
Hivi mleta mada ndiye huyu huyu Chigogo 2014 au ni coincidence tu, maana hata avatar zao zinarandana.

Kikwete ni Still dhaifu Wala hakuna cha kummiss aliruhusu wizi uendelezwe kama ilivuokuwa zama zilizopita.Huyu wa Sasa sio dhaifu yupo ngangari ila ana majivuno mno
 
Nimejiuliza maswali mengi sana juu ya kukataliwa kwako na Dr.Ulimboka ile alhamisi mchana ulipotuma maafisa wako wa ikulu wapeleke taarifa kuwa unataka kwenda kumuona na kakakukatalia..

Bila shaka umejifunza kuwa sio mara zote una deal na watu wenye akili na mawazo mepesi ....hii itakuwa imekuumiza sana ..pia kwa madaktari kukataa msaada wa serikali kwenda kumtibu Dr.Ulimboka nayo pia itakuwa imekufadhaisha sana....

kwa kifupi ni KUWA HUPENDWI NA WATU WAMECHOKA NA MATENDO YAKO YA HOVYO NA YA KINAFIKI YANAYOFANYWA NA SERIKALI YAKO...

sasa na mimi mnitafute mning'oe kucha na meno kwa koleo....ulidhani urais ni kama udiwani....
We siyo kigogo bali ni kijiti. tushakuchoka na Uzushi wako,Ulimboka ni nani hadi amkatalie,na Raisi hawezi kuhangaika na mtu Kama Ulimboka hana title yoyote kwenye nchi hii.Kudhihirisha ulichoandika ni Uongo,usingeweza kueleza ukweli kwamba Umeambiwa na Msimamizi wa harusi ya Ulimboka,usingekuwa muwazi kiasi hicho.Peleka Uzushi wako kwenye vijiwe vyenu vya Ushuzi
 
Punguza povu na usome tarehe ya post.

Imepostiwa 2012..

Ulimboka akiwa ni muongoza migomo ya madaktari...

Usitoe povu mkuu hii sio ya Leo.....
 
Nimejiuliza maswali mengi sana juu ya kukataliwa kwako na Dr.Ulimboka ile alhamisi mchana ulipotuma maafisa wako wa ikulu wapeleke taarifa kuwa unataka kwenda kumuona na kakakukatalia..

Bila shaka umejifunza kuwa sio mara zote una deal na watu wenye akili na mawazo mepesi ....hii itakuwa imekuumiza sana ..pia kwa madaktari kukataa msaada wa serikali kwenda kumtibu Dr.Ulimboka nayo pia itakuwa imekufadhaisha sana....

kwa kifupi ni KUWA HUPENDWI NA WATU WAMECHOKA NA MATENDO YAKO YA HOVYO NA YA KINAFIKI YANAYOFANYWA NA SERIKALI YAKO...

sasa na mimi mnitafute mning'oe kucha na meno kwa koleo....ulidhani urais ni kama udiwani....
Kigogo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyu jamaa huwa anameza piliton kupata usingizi au huwa anapiga viroba? maana Wamarekani mkwara waliomchimba Mkwele kuhusu kusajili meli za Iran hapa, halafu Iran inataka kutuhonga madaktari wake 1000, nadhani hii haikubaliki, hatutokubali kamwe Tanzania kugeuzwa kichaka cha magaidi kama Iran.
Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi sio muongeaji sana humu...lakini kwa kifupi Dr.Ulimboka alikuwa best man wa kaka yangu...so habari hii imetoka mdomoni kwa Dr.Ulimboka mwenyewe na aliyenipa ni kaka yangu alikuwepo wakati Ulimboka anakataa...asante
Eeh?

Kumbe Dr. Ulimboka alikuwa Best Man kwenye harusi ya kaka yake Kigogo??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom