Kikwete, Ukawa leo, Makanisa yaonya

Kikwete, Ukawa leo, Makanisa yaonya

Gazeti la mwananchi siku si nyingi litafungiwa. Yan limejitoa akili mpaka kwenye sensitive ishu. Hili gazeti linatumika na wakenya ili hali ya nchi iharbike kama kwao. Skuiz wanaandika ishu yan from the beggining unajua imeegemea wap? Kiukwel kwa sasa kama mtu unataka gazeti ambalo ni neutral ni ngumu kupata. Yote siasa tu
 
Punguza usisi mkuu,suala la katiba mpya ni la wananchi wote wakiwemo wanaCCM wenyenyewe ambao baadhi yao wanaiunga mkono rasimu ya katiba ya Jaji Warioba.

Tupo wengi ila tumefungwa midomo hatuwezi kwenda kinyume na maagizo ya chama chetu kwani tunaogopa kukosa tonge
 
Punguza usisi mkuu,suala la katiba mpya ni la wananchi wote wakiwemo wanaCCM wenyenyewe ambao baadhi yao wanaiunga mkono rasimu ya katiba ya Jaji Warioba.

Wapo lakini kwa jinsi walivyofungwa mikono tumebakia bubu,kazi iliyobakia kwetu ni kuunga mkono hoja 100%.
 
Gazeti la mwananchi siku si nyingi litafungiwa. Yan limejitoa akili mpaka kwenye sensitive ishu. Hili gazeti linatumika na wakenya ili hali ya nchi iharbike kama kwao. Skuiz wanaandika ishu yan from the beggining unajua imeegemea wap? Kiukwel kwa sasa kama mtu unataka gazeti ambalo ni neutral ni ngumu kupata. Yote siasa tu

System busy
 
Nao hawa wameshindwa kuubiri watu wamtumikie mungu kwamoyowote wapo kwenye ktb......wanataka posho nao nini?
 
Back
Top Bottom