Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
jf siku hizi imevamiwa, tena hata si watoto wa shule bali wazee na mvi zao.
Wapo Maadui wa Tanzania wanalitumia Gazeti La Mwananchi kupandikiza Uadui Kati yetu watanzania.......
jf siku hizi imevamiwa, tena hata si watoto wa shule bali wazee na mvi zao.
Hili jamaa lina mvi mpaka tigoni lakini hoja zake huwezi kuzitofautisha na mtoto wa chekechea.
acha udini, kanisani ni mahali Mungu ana abudiwa na kutukuzwa na siyo mahali pa harakati za mapinduzi ya kisiasa, acha upuuzi.hongera viongizi wote wa wakatoliki kwa kukemea yanayoendelea huko dodoma., wakipuuza muhubirieni waumini kuikataa ccm uchaguzi ujao
Mhhh /???? Na Kikao Je/ basi wakanushe hilo tamko
Nimeacha kusoma mwananchi, sio lile nililolifaham. Linaandikwa dhahiri likiwa kuna kitu nyuma ya pazia kinachowapelekea kuandika hivyo.
Sizingumzii Habari, nazungumzia maudhui yanayotumika kuifikisha Habari yenyewe..... Kuna lengo baya linakuwepo ndani yake.
Wapo Maadui wa Tanzania wanalitumia Gazeti La Mwananchi kupandikiza Uadui Kati yetu watanzania.......
lengo lao ni kumtisha Rais akubali matakwa ya ukawa.Sizingumzii Habari, nazungumzia maudhui yanayotumika kuifikisha Habari yenyewe..... Kuna lengo baya linakuwepo ndani yake.
acha udini, kanisani ni mahali Mungu ana abudiwa na kutukuzwa na siyo mahali pa harakati za mapinduzi ya kisiasa, acha upuuzi.
Nothing new is going to happen, I really hope that they will stay put and push these crooks all the way!
Sitegemei kuwepo na muwafaka
hongera viongizi wote wa wakatoliki kwa kukemea yanayoendelea huko dodoma., wakipuuza muhubirieni waumini kuikataa ccm uchaguzi ujao