NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,526
- 17,433
jpm hana ubora wowote!sijaona alichofanikisha kwa watz hata kimoja!!narudia hata kimoja!kuwa nae ni hasara kwa taifa hili!miradi yote ilishakuwepo tangu kikwete yupo madarakani hata mimi ningemalizia miradi yote!!!Kikwete n Rais anayependwa kuliko wote hii haipingiki n mtu mwenye nyota ya watu ILA KWA RAIS Magufuli atabaki kuwa Rais bora kuwahi kutokea na mwenye uthubutu mkubwa ambaye hajatokea Tanzania vitabu vitamwandika na atakuja kukumbukwa milele