johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
Hoja yako ya msingi sana. Ila JK kaweka historiaMie nalaumu zoezi halikuanza mapema make kuna idadi kubwa ya watanzania wenye sifa hawakuandikishwa.
JK siku zote anakuwa kwenye ubora wa hali ya juu sana. Kila anachofanya anatengeneza historia. Kuanzia vitambulisho vya taifa, BVR, nk
Hoja yako ya msingi sana. Ila JK kaweka historia
we kweli mburula wkati hatuna vitambulisho mlikuwa mnalalama leo kweli debe tupu haliachi kupiga keleleWantazania basi tu. Vitambulisho nacho kitu cha kumsifia rais.
Ni kweli,historia ya kutuletea outdated BVR kits kwa bei kama mpya vile kumbe used kits.Kweli lazima tumkumbuke kwa ufisadi huu uliofanywa na watu wake wa karibu.
JK siku zote anakuwa kwenye ubora wa hali ya juu sana. Kila anachofanya anatengeneza historia. Kuanzia vitambulisho vya taifa, BVR, nk
Ukumbuke na zile fuso za mtumba toka kwa mwenyekiti zilizonunuliwa kwa bei kubwa zaidi ya mpya!!
Sema utamkumbuka jk usitusemee wengine BVR zenyewe hakuna maandalizi zoezi linaendeshwa kwa pupa hakuna wataalam na vifaa vya kutosha watu tumehangaika ktk foleni siku tatu ndo tuandikishwe
Lizabon hivyo vitambulisho mie ninavisikia tu.Hivi safari wako mkoa gani vile.Maana hata kuviona sijawahi kuviona.Labda viko kwa ajili ya wanaCCM tu.
Najiuliza maswali ambayo sipati majibu kweli bvr ni historia lakini kwanini zilisubiri hadi miezi mitatu kabla ya uchaguzi?pili kwanini muda ulowekwa kujiandikisha ni siku saba?
JK kila anachofanya anatengeneza historia, kuanzia kwenye bvr ya watu kuamuka saa sita usiku kwenda kwenye mkesha wa bvr, hadi rais aliyekaa angani kwa mda mrefu zaid Duniani.JK siku zote anakuwa kwenye ubora wa hali ya juu sana. Kila anachofanya anatengeneza historia. Kuanzia vitambulisho vya taifa, BVR, nk
Na matangazo yote yaliyokuwa yanavuma kwenye media na hapa JF!!Kweli ua not serious!