Kikwete to Launch Nelson Mandela University-Arusha campus

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Arusha — PRESIDENT Jakaya Kikwete is expected to officially inaugurate the Arusha campus of the Nelson Mandela African Institutes of Science and Technology in Tengeru (NM-AIST), Meru District in Arusha region next week.
A statement from NM-AIST says the launching ceremony would be held at the campus grounds on Friday and is also to be graced by the University Chancellor Dr Mohammed Gharib Bilal.
Arusha will be hosting two campuses in the Nelson Mandela Institutes of Science and Technology that are being established in several countries in African Continent.
The first Tanzanian-hosted campus, which President Kikwete will inaugurate is built at Tengeru while a second and much larger NM-AIST campus and technology city is expected to be established in Karangai area, near Mbuguni also in Meru district.
The construction of the first Nelson Mandela African Institute of Science Technology campus of Tengeru, built at the cost of 40 billion/- in August 2010 and was completed in September 2011 when it started enrolling pioneer trainees.
Vice Chancellor Prof Burton Mwamila said the NM-AIST had selected 92 initial students from Tanzania, Ghana, Rwanda, Uganda and Ethiopia who reported for the maiden academic late last year.
The Arusha-based University is part of the African Institute of Science and Technology (AIST)-a higher-learning system concept developed by the Nelson Mandela Institute (NMI) aimed at bringing the highest level of technical learning facilities to Africa.
AIST represents a global effort to foster Sub-Saharan Africa's economic growth through promotion of excellence in science and engineering. The ultimate vision of NMI is to develop four AIST campuses across Sub-Sahara Africa one each in the North, South, East (Arusha) and West Africa.
AIST would draw on the decentralized model that has been successfully implemented by IIT-Bombay in India. Core disciplines in science and engineering would be delivered by all of the main campuses at the undergraduate and postgraduate levels.

Marc Nkwame, 27 October 2012
 
big up jk, historia nyingine nzuri umeacha ktk uongozi wako.
 
Kwa nini mandela?kuna vyuo vingapi south africa vyenye jina la nyerere?kama cyo kujikomba ni nini?tuna watu wangapi ambao tulipaswa kuwaenzi waliofanya makubwa hapa tanzania?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
hiki chuo kinahusu teknolojia kwa wanafunzi wa kiafrika,labda nchi nyingi za kiafrika hazijatambua umuhimu wa nyerere kama ilivyokuwa kwa mandela.pia nadhani idea ya kuanzisha chuo hiki ilikuja miaka hii ambayo nyerere alishafariki na pia yawezekana kati ya watu waliopendekeza idea ya kuwa na chuo kama hiki ni mandela.mimi nadhani tujivunie kwa arusha kuwa mojawapo ya campus za chuo hiki hapa afrika.

maswali ya kujiuliza ni kwa vipi mtanzania atafaidika kwa uwepo wa chuo hiki?
 
wow am so proud of my home town....tena tengeru that's where i come from...yei yeiiii.....BIG UP A-TOWN
 
Its time now we need nyerere university as honour in tanzania

Mkuu kuna chuo kikuu kitajengwa Mara kwa jina la nyerere, ni moja ya ahadi za JK katiaka kampeni za urais 2010.
Kitakuwa cho cha kilimo na teknolojia.
Tusubiri tuone.
 
Kwa nini mandela?kuna vyuo vingapi south africa vyenye jina la nyerere?kama cyo kujikomba ni nini?tuna watu wangapi ambao tulipaswa kuwaenzi waliofanya makubwa hapa tanzania?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Hii ni inititive ya Mzee Mandela na ameanzisha vyuo kama hivyo sehemu kadhaa barani Africa. Tunaweza kusema kilichofanya Tanzania ikachaguliwa kuwa miongoni mwa hizo nchi chache ni kutokana na mchango wake barani Afrika hasa ukanda wa kusini wa Afrika.
 
Seerkali yake ndio imekijenga, hiyo ni historia kubwa ya kujivunia.
MKuu tanzania ilipewa upendeleo tu chuo kiwe hapa kingeweza kujengwa hata afica kusini au sehemu yeyote africa ,na ukumbuke ni chuo pekee africa chenye kozi hizo ,wapo waliotoa hela za ujenzi
 
MKuu tanzania ilipewa upendeleo tu chuo kiwe hapa kingeweza kujengwa hata afica kusini au sehemu yeyote africa ,na ukumbuke ni chuo pekee africa chenye kozi hizo ,wapo waliotoa hela za ujenzi

Mkuu navyojua mimi serekali imechangia fedha nyingi ktk huo ujenzi, sio wafdhili pekee waliojenga.
Ingia kwenye website yao utaona.
 
kwa hiyo katika kampeni za ccm 2015 mojawapo ya mafanikio ni kujenga chuo cha nelson mandela?

Hiyo ni moja ya mambo serkali yake iliyo yafanya.
Sijui kama watatumia ktk kampeni au la manake mimi ssijui mipango yao.
 
Kwa nini mandela?kuna vyuo vingapi south africa vyenye jina la nyerere?kama cyo kujikomba ni nini?tuna watu wangapi ambao tulipaswa kuwaenzi waliofanya makubwa hapa tanzania?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Mkuu vitakuwepo sema mimi na wewe hatujui tu..maana wenzetu wanavyuo vikuu vya kata..kuna watu watakuletea details soon hapa hapa JF..stay tune
 
Back
Top Bottom