Nteko Vano
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 434
- 113
Namuona JK kuwa sio dhaifu kutokana na usimamizi wake madhubuti katika mambo yafuatayo:Wizi wa EPA, Suala la richmond, Kuzuia tozo za kodi kwa makampuni ya madini, Kuchakachua kura 2010, Kukua kwa umaskini wa watanznia kwa kasi n.k.
Sasa mtu kama alisimamia mambo hayo kwa juhudi zake zote utamuita dhaifu? Mtu dhaifu anaweza kufanya hivyo?Labda hayo ndio yalikuwa malengo yake ya moyoni. Kwahiyo JK sio dhaifu.
Sasa mtu kama alisimamia mambo hayo kwa juhudi zake zote utamuita dhaifu? Mtu dhaifu anaweza kufanya hivyo?Labda hayo ndio yalikuwa malengo yake ya moyoni. Kwahiyo JK sio dhaifu.