Kikwete: Sihusiki Zanzibar

....wameshinikiza kufutwa uchaguzi zenj na kusababisha matatizo makubwa zenj....sasa nafsi zinawasuta....wazanzibari inabidi wakeshe misikitini wakisali...ili ajulikane aliyesababisha madhila yote haya...na Mungu hakika atajibu kwa namna ya ajabu....Inafika mahali kwa kweli mambo mengine anaachiwa Mungu.....maana kibinadamu yanakwamishwa na wanaadamu....
 
Mwenyekiti wa CCM rais Mstaafu Jakaya Kikwete amesema hausiki na kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu Zanzibar October 28 mwaka jana.

.....
Mwenyekiti wa CCM anataka kutuaminisha wananchi wa Tanzania na dunia kwamba yeye hakuwa Amiri Jeshi Mkuu wakati JWTZ ilipovamia na kukiteka kituo cha kutangazia matokeo ya uchaguzi huko Zanzibar?

Kama Yeye Mstaafu hakuwa Amiri Jeshi Mkuu au hakutoa maelekezo, amri au kubariki uvamizi wa kituo hicho cha "Tume huru/ ZEC" uliofanywa na JWTZ ni vyema atuambie nani alikuwa anakaimu Uamiri Jeshi mkuu au ni nani alitoa amri kwa JWTZ kubaka demokrasia (kuingilia uhuru wa ZEC kwa kuzuia isimalizie kutangaza kitaifa matokeo ya majimbo yaliyobaki na matokeo ya nafasi ya urais wa Zanzibar)?
 
Hapa mkuu sijakuelewa rudia tena
Hiyo ni link, ingia ndani usome. Wanaojua wanampa ushahidi kuwa anahusika. Mstaafu hawezi kuukimbia "mkwamo" alioutengeneza kwa amri au kwa kubariki.
 
Hiyo ni link, ingia ndani usome. Wanaojua wanampa ushahidi kuwa anahusika. Mstaafu hawezi kuukimbia "mkwamo" alioutengeneza kwa amri au kwa kubariki.
Huku kwangu hiyo link haifunguki hebu nieleweshe tu wewe mwenyewe
 
Huku kwangu hiyo link haifunguki hebu nieleweshe tu wewe mwenyewe
Mkwepa Kodi uhondo wote utaupata na ushahidi utaupata ukiingia na kujisomea. Kama haifunguki kwako tosheka na post # 103 au mwombe Nguruvi3 akuhabarishe.
 
Mkwepa Kodi uhondo wote utaupata na ushahidi utaupata ukiingia na kujisomea. Kama haifunguki kwako tosheka na post # 103 au mwombe Nguruvi3 akuhabarishe.
OK mkuu
 
Labda Mwamunyange kwa utashi wake mwenyewe. JK tumekusikia lakini hueleweki.
 
sasa mbona umekubali kuwa amehusika kumweka magu?
 
of course inawezekana kwa maelezo haya , JK ni mafia
 
daaah safi saana, we kweli nonda
 
Haiwezekani Uwe rais alafu usihusishwe kwenye tukio kubwa namna hii. Lazima alielezwa na akaafiki lasivyo walimdharau.
Rais gani uchaguzi unafutwa bila yawewe kuhusika katika kutoa idhini,kwanini viongozi wanapenda kutuongopea sana?
Nilichukizwa sana alipowahi kusema hawajui KAGODA na Tena hawajui RICHMOND!!! inamaana huwa hanamuda kujua mambo muhimu ya nchiyake? Intelijensia aliitumia kujua vitugani?
Mambo mengine kuliko kusema bora ukae kimya maana yanashusha hadhi ya u Rais. Inaudhi sana
 
Naona anajaribu kushusha chuki ya watanzania kwake.Hatudanganyiki kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…