Kikwete safarini tena?


Mkuu ile dhahabu kilo 400 iliyotaka kuchukuliwa na wezi kutoka mikononi mwa wezi wetu haitafanikisha yote hayo tulkiwa serious?
 
walipofariki waTZ wakati wa mgomo wa DRs mheshimiwa hakuahirisha safari ya Davos...hizi priorities sijui zikoje!
 
Mwacheni akatoe maendeleo ya mchakato wa katiba maana wao ndio wanaofadhili zoezi zima!
 
huyo ndo jk bwana, Mungu atusaidie tanzania tuje kupata raisi mwenye akili
 
Jamani kupanda ndege kutamu asiwaambie mtu mi nilipanda ndogo lift raha kweli je zile kubwa anazopanda yeye?
 
Lukuvi amesema kuwa pale Ikulu kuna mapepo yanayomtesa Kiwete , sasa kama hivyo ndivyo basi inawezekana hayo mapepo ndio yanayomfanya asitulie bali awe anakimbilia nje ya nchi!! Inaelekea prof. Majimarefu yamemshinda kuyatoa sijui sasa atafanya nini pengine kuachia ngazi tu ndio suluhisho, akapumzike Msoga.
 

Habari kutoka kitengo cha mawasiliano kinasema "HUWA ANAJIALIKA MWENYEWE".
 
vasico dagama ndo alikuwa anenda kwenye tamasha kule vegas sema limehairishwa mpaka ijumaa ijayo. ateenda. liana atapafomu
 
Rip bro
Sent using Unknown device
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…