hizo pete mkono wa kulia na kushoto ni ishara gani jamani?
Bora kamaliza
dola milioni 897 = kuji-adjust kwenye kiti...dig?Kama uko karibu na TV tune starTV
anafanya mahojiano na StarTV, ni kipindi recorded (not live) but worthy watching.
anaongea kwa 'mbwembwe' jinsi EU + America wamejicomit kuisaidia Tanzania, anasema jamaa 'watatusaidia' dola milioni 897 za kimarekani, nasisitiza anaongea mbwembwe huku anaji-adjust kwenye kiti
Japo umeniudhi kwa kutoa taarifa ya kuonyesha Raisi wangu alivyomhemeaji,mtia aibu ya kuwa mtembeza bakuri lakini hilo la kuringa akitangaza alivyo matonya limenichekesha kupita kiasiKama uko karibu na TV tune starTV
anafanya mahojiano na StarTV, ni kipindi recorded (not live) but worthy watching.
anaongea kwa 'mbwembwe' jinsi EU + America wamejicomit kuisaidia Tanzania, anasema jamaa 'watatusaidia' dola milioni 897 za kimarekani, nasisitiza anaongea mbwembwe huku anaji-adjust kwenye kiti
Kama uko karibu na TV tune starTV
anafanya mahojiano na StarTV, ni kipindi recorded (not live) but worthy watching.
anaongea kwa 'mbwembwe' jinsi EU + America wamejicomit kuisaidia Tanzania, anasema jamaa 'watatusaidia' dola milioni 897 za kimarekani, nasisitiza anaongea mbwembwe huku anaji-adjust kwenye kiti
Japo umeniudhi kwa kutoa taarifa ya kuonyesha Raisi wangu alivyomhemeaji,mtia aibu ya kuwa mtembeza bakuri lakini hilo la kuringa akitangaza alivyo matonya limenichekesha kupita kiasi