Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,071
- 168,748
Mzee acha utani humu kuna watu wazima na akili zao wanakusoma na si kwamba ulisikia peke yako huo utani wa m,kwere alikuwa akimaanisha hivyo.Bujibuji acha kutoa mada ambazo hazina kichwa wala miguu, thread yako imekaa kimzahamzaha sana. JK alipozungumza hilo alikuwa anawatania na tena lilikuwa ni suala la kutangaza utalii wetu nje ya nchi. Matangazo hayo yalitolewa CNN, ndipo katika kuchombeza akasema gharama za matangazo yale ni kama kuliwa na siyo kukung'ung'utwa kama unavyotaka kukuhusianisha na wewe. Hivyo JK is neither msanii nor mzugaji.
Siwapendi watu wanaoelewa halafu wanachafua jukwaa ili kutaka kudhalilisha viongozi ambao kauli zao zilikuwa open.Kila na jambo na wakati wake.Kwa wakati ule ni sawa alipokuwa anazungumzia gharama za kuitangaza tz na resources zake.Lakini kwa sasa mtu akizungumzia kuwa eti ukitaka kula ni lazima uliwe,huyo muangalie vizuri au kaa naye mbali huenda si riziki!
Kwa hiyo JK alimananisha aliwe nani sasa?Mzee acha utani humu kuna watu wazima na akili zao wanakusoma na si kwamba ulisikia peke yako huo utani wa m,kwere alikuwa akimaanisha hivyo.
Kila na jambo na wakati wake.Kwa wakati ule ni sawa alipokuwa anazungumzia gharama za kuitangaza tz na resources zake.Lakini kwa sasa mtu akizungumzia kuwa eti ukitaka kula ni lazima uliwe,huyo muangalie vizuri au kaa naye mbali huenda si riziki!
Kwa hiyo JK alimananisha aliwe nani sasa?
Jakaya ni mzurulaji
Kwa hiyo JK alimananisha aliwe nani sasa?