Kiuhalisia Jakaya Kikwete sikumpigia kura, na hata kama atagombea tena kesho kwa kupambana na Dr. Slaa siwezi kumpa kura yangu. Kwa maoni yangu si mwanadamu anayefaa kuwa Rais Imara kwa kipindi hiki tulicho nacho.
Lakini Kikwete anayo sifa nyingine ambayo wengi wetu hatutaki kuiona. Tofauti yake na mtangulizi wake B. Mkapa katika kutumia mitulinga ya dola kulinda chama chake ni kubwa sana.
Wakati Mkapa alitumia Mitulinga ya dola komba kura za Kagasheki mwaka 2005 dhidi ya Lwakatare, Kikwete ametumia mbinu za medani kuzipata kura hizo. Hali ya joto la kisiasa lilivyokuwa mwaka huu sijui kama angekuwa Mkapa ndiye Rais ingekuwaje!?
Kwa kiasi fulani Kikwete ni mwanademokrasia zaidi kuliko mtangulizi wake.
kiuhalisia jakaya kikwete sikumpigia kura, na hata kama atagombea tena kesho kwa kupambana na dr. Slaa siwezi kumpa kura yangu. Kwa maoni yangu si mwanadamu anayefaa kuwa rais imara kwa kipindi hiki tulicho nacho.
Lakini kikwete anayo sifa nyingine ambayo wengi wetu hatutaki kuiona. Tofauti yake na mtangulizi wake b. Mkapa katika kutumia mitulinga ya dola kulinda chama chake ni kubwa sana.
Wakati mkapa alitumia mitulinga ya dola komba kura za kagasheki mwaka 2005 dhidi ya lwakatare, kikwete ametumia mbinu za medani kuzipata kura hizo. Hali ya joto la kisiasa lilivyokuwa mwaka huu sijui kama angekuwa mkapa ndiye rais ingekuwaje!?
Kwa kiasi fulani kikwete ni mwanademokrasia zaidi kuliko mtangulizi wake.
zama za nyerere au mkapa hata huo wizi mngeweza kuujadili kama mnavyofanya sasakwa wizi wa kura alioufanya uyu baba ridhiwan hana chembe ya kuitwa mwana demokrasia.
Magazeti yaliyoandaliwa na KIKWETE,ROSTAM NA LOWASSA YA the express,Rai,Mtanzania,Majira ya wakati huo mbona walimuandama sana Mkapa na hakuyafunga kama kikwete alivyolifungua mwanahalisi na Alasirizama za nyerere au mkapa hata huo wizi mngeweza kuujadili kama mnavyofanya sasa
Kabaaaaaaaaaaaaaaaaa..........daaaaaaaaaaaaa .................. Hata kama mmoja anaiba huku anacheka na mwingine anaiba huku anagasira......bado wote ni wezi tena wa kitu kile kile.......MAHINDI YETU............usitofautishe kati ya nyani na tumbili. Wote ni wezi wa mahindi.
JAMBAZI.........MWIZI..............KIBAKA.................MKWAPUAJI................MPORAJI.................. jangili...............wote ni walewale tuuuuKiuhalisia Jakaya Kikwete sikumpigia kura, na hata kama atagombea tena kesho kwa kupambana na Dr. Slaa siwezi kumpa kura yangu. Kwa maoni yangu si mwanadamu anayefaa kuwa Rais Imara kwa kipindi hiki tulicho nacho.
Lakini Kikwete anayo sifa nyingine ambayo wengi wetu hatutaki kuiona. Tofauti yake na mtangulizi wake B. Mkapa katika kutumia mitulinga ya dola kulinda chama chake ni kubwa sana.
Wakati Mkapa alitumia Mitulinga ya dola komba kura za Kagasheki mwaka 2005 dhidi ya Lwakatare, Kikwete ametumia mbinu za medani kuzipata kura hizo. Hali ya joto la kisiasa lilivyokuwa mwaka huu sijui kama angekuwa Mkapa ndiye Rais ingekuwaje!?
Kwa kiasi fulani Kikwete ni mwanademokrasia zaidi kuliko mtangulizi wake.
Shibuda alikimbia mwenyewe kwa woga wake.
Seriously speakin Shibuda is not a president material labda ndani ya Chadema