Kikwete na Utumishi, tangazeni na toeni ajira za maofisa ICT wa Mkoa na Wilaya

umesahau kwamba mpango uliopo ni kuunganisha ofisi za nchi nzima na hivyo ni lazima kuwepo na standards. Tanzania tunaanza na zero by the way ict si kuwa na computer & internet tu..

@green tech specialist

Nafikiri hapo ndio pazuri. Kwanza inatakiwa ziunganishwe hizo facility ndio aajiliwe mtu wa ku maintain na sio kabla installation.

nafikiri ni vizuri kufikiri kiuchumi zaidi na sio kisiasa
 
Nafikiri wewe una kiu tu ya kutaka kazi au kupewa kazi. Lakin kumbuka nimefanya kazi hizi sana mpaka kufikia RDD(Mkurugenzi wa maendeleo wa Mkoa ). Hivyo nazijua vilivyo Halmashauri zenu.

Unachozungumzia wewe ni kuwa na waalimu wa ICT kwenye skuli za msingi na sekondari. Hao watakuwa na jukumu sio tu kufundisha lakin pia kutoa utaalamu wa ushauri kwa Serikali.

Na kwa kuwa Hakuna Computer za kutosha Kwenye Halmashauri kutokana na uhaba wa fedha wa Serikali ni vizuri kuwatumia waalim hao kwa makubaliano maalum kutoa utaalamu wao katika afisi za Halmashauri. Lakin sio kumwajiri mtu kwenye halmashauri bila kazi za kutosha.

Vile vile Je unajua ni wilaya ngapi ambazo hazijafikiwa na Umeme mpaka leo? Je kuna tarafa au kata ngapi ambazo hazina umeme mpaka leo huko Tanzania? Kumbuka hao ndio watu muhimu kupata huduma hizo. Kwani mijini magazeti na maskuli kibao.

Kila la kheir. Usichukie

Kwakweli bwana RDD(wazamani )barubaru hujanipata kabisa labda bado uko 15years back.
 
Nafikiri wewe umechoka kufikiri RDD hadi leo siku nyingi sana, si mbaya ukipumzika. Wilaya 8 ndo hazina umeme, Lakini ingekuwa vema sana kila Mkoa na H/W kuwa na mifumo ya kompyuta (computerised) na sio kama ilivyo sasa hawa watu wana kompyuta tu. Kama wakiwa computerised huyo afisa ICT wa wilaya ni jukumu lake kutekeleza/kuhifadhi hiyo mifumo sio kwamba atakuwa hana kazi, no hata kidogo. ni kama vile makampuni, idara za serikali kuu zilivyo na maICT Managers, ICT departs etc. Kama unajua ICT ilivyo na inavyokuwa kwa kasi huwezi fikiria kuwa eti mtu huyo atakaa bila kazi, hakika itafika siku watahitajika wasaidi wasiopungua 7 kwa kila H/W. Network mtu mmoja, Database mwingine, Help desk mtu mwingine, Applications mtu mwingine, Software developer mtu/watu wengine, Website developer & maintenance mtu mwingine. Sorry this where the world is heading to.
 
Nafikiri Mchumi mwenzangu Mdondoaji amewajibu hapa tena kwa kuwapa Data sio porojo.

Hivi Zing na Narubongo,

Mshatoa ushauri gani kuhusu upatikanaji wa umeme wa uhakika na gharama nafuu? Au ndio zile hadithi za abunuwasi kuwa una mayai mawili tayari unaanza kujenga nyumba ya ghorofa ndotoni? Zing mawazo yako mazuri ila kwa mazingira ya Tanzania nadhani yangelisubiri kwani sio kipaumbele. Project ya E-government is an elephant project kwasababu mimi kama mchumi nikiangalie ile project nadhani tunasahau vipaumbele vyetu. Labda nikutaarifu Tanzania kuna watu wasiopungua laki sita tu wanaotumia internet na wamejiandikisha kutumia internet.

Tukigawanya hilo = 600,000/ 45,000,000 = ni sawa na 1.3% ya population sasa ni kichekesho kuanza kuwanza ICT wakati the rest of 98.7% of population hawajui hata internet ikoje achilia mbali computer inawashwaje. Mbaya zaidi Umeme wa uhakika haujulikani unapatikana vipi. Binafsi naona kwanza tukijite kuboresha miundo mbinu hilo ndio priority. Vile uboreshaji wa ICT uendelee ila sio kupeleka maafisa na kuajiri watu ambao wataenda huko wilayani na kukaa bila ya kuwa na kazi yeyote na kutumia rasilimali zetu bure.

Hizo fikra za kimweri au hekaya za abunuwasi mkuu Zing.

Nafikiri wewe umechoka kufikiri RDD hadi leo siku nyingi sana, si mbaya ukipumzika. Wilaya 8 ndo hazina umeme, Lakini ingekuwa vema sana kila Mkoa na H/W kuwa na mifumo ya kompyuta (computerised) na sio kama ilivyo sasa hawa watu wana kompyuta tu. Kama wakiwa computerised huyo afisa ICT wa wilaya ni jukumu lake kutekeleza/kuhifadhi hiyo mifumo sio kwamba atakuwa hana kazi, no hata kidogo. ni kama vile makampuni, idara za serikali kuu zilivyo na maICT Managers, ICT departs etc. Kama unajua ICT ilivyo na inavyokuwa kwa kasi huwezi fikiria kuwa eti mtu huyo atakaa bila kazi, hakika itafika siku watahitajika wasaidi wasiopungua 7 kwa kila H/W. Network mtu mmoja, Database mwingine, Help desk mtu mwingine, Applications mtu mwingine, Software developer mtu/watu wengine, Website developer & maintenance mtu mwingine. Sorry this where the world is heading to.

Kumbuka zamani makampuni kama TTCl yalikuwa na mabasi ya wafanyakazi, walinzi walioajiliwa n.k

Je unajuwa kwanini leo hii inakuwa ni vizuri kukodi kampuni ya ulinzi ikulinde kuliko kuajili walinzi? Je unajuwa kwanini ni rahisi kuwapa pesa za usafiri wafanyakazi wako au kukodi mabasi kuliko kuwa na mabasi ya wafanyakazi.?

ndio maana ninasema ni vizuri mfikirie kiuchumi na sio kisiasa.

Hivi Zing na Narubongo,

Mshatoa ushauri gani kuhusu upatikanaji wa umeme wa uhakika na gharama nafuu?.....

Mdondoaji Hivi wilaya na mikoa yote haina umeme .Na mambo ya umeme ni wajibu wa taaluma nyingine .Tusichanganye mambo.Ndio maana kunawahandisi wamikoa . Kama hawafanyakaziyao hilo ni ni suala lingine

iweje mwanafuzi wa tambaza au jangwani ashindwe kuona practical ya chemistry/Physics hata kwenye video ?IS it umeme. Sawa wa kibondo hana umeme Vipi wa kniondoni/mwanza arusha mjini badodo anasoma practical kwa kukariri maandishi kama tulivyosoma zamani wakaati tunaimba TEKNOHAMA ....?

Iweje maktaba ya taifa za mikoa haina machapisho latest ya kada mbalimbali wakati tungeweza wangeweza kujinga na mkataba za online kupatacopy yanakakwabei nafuu . is it umeme ?

Kwa nini nishidwe kuona jina la kijiji au mtaa wangu kwenye googlemap? Is it umeme?

Jamani kama kweli wanasiasa wanaimba TENHAMA waonyeshe utayari kwa vitendo na kuwezesha

Zing mawazo yako mazuri ila kwa mazingira ya Tanzania nadhani yangelisubiri kwani sio kipaumbele. Project ya E-government is an elephant project kwasababu mimi kama mchumi nikiangalie ile project nadhani tunasahau vipaumbele vyetu.

Mdondoaji am not even talking about E-government .Naongea Potenetial amabazo zipo tayari zinatakiwa kutumika lakini haizitumkia sababu watu hawana taarifa au hajui wafanyeje .Ni hilo tu Hakuna cordinationna awareness ..... Na ukisema vipaumbeele then ICT in the current ni key. Ndio maana nimeandika mwanzo kuwa la sivyo miradi expensive kama mkonga wa taifafaida zake zitaishia kwenye internte cafe tu . Au do mean tuikosea hata kugharamia kwamkopo mradi wa fiber optic? Muulize RC yeyote wanategmea FIber optic italetafaida gani kwenye mikoa yao .

But kama wewe ni mchumi naweza kukuelewa lol

Labda nikutaarifu Tanzania kuna watu wasiopungua laki sita tu wanaotumia internet na wamejiandikisha kutumia internet.Tukigawanya hilo = 600,000/ 45,000,000 = ni sawa na 1.3% ya population sasa ni kichekesho kuanza kuwanza ICT wakati the rest of 98.7% of population hawajui hata internet ikoje achilia mbali computer inawashwaje.

Mdondoaji kama uko well infomed utaelewa kuwa ICT ni zaidi ya internet .Internet ni key lakini its not the only driving force.Nitakupa mfano.

kama mtalamu naweza kushauri kuwa wanafunzi wa shule za sekodary (wanafeli sana hesabu Wich is true true ) na kuna shule hazi na walimu wa hesabu basi napendekeza kuchukua na kuziwea video
kama hii hapa kwenye CD/DVD then kuzigawa kwa shule au wanafuzi. Zaidi ya yale waliyofundishwa Video hizi zitajazia.Hata kama shule haina internet Ni kaasi cha kuwa na VIdeo room tu.Aways kuna work arroundou hata ama hakuna intenet . Anahitajika mshauri wa kitaallam

As a serius but somehow expensive project unaweza kupendeka zitengezzwe video kama hizo na walimu wa tanzania.for sure Video kama hizo zitageuza japo F 20 kuwa D au C .

Je wahusika wanataarifa ya resouces hizi? Je wanajua hataka kama hkauna internet bado inawezekanakuzinakwenyesimuna TVna kuboresha huduma kadhaa ? Hapo sasa ndio ushauri wa kitaalam unapokuja. Mambo ya cordiantion na awareness hakuna ........ Wanafuzi/Wazazi/Shule/Mawaziri etc wengi hawajui kuwa Video DVD si lazima iwe ya kanumba tu. inaezekana hata kutazama DVD ya trigonometryauProbabiity kwene TV ya nyumbaniau shuleni

Mbaya zaidi Umeme wa uhakika haujulikani unapatikana vipi. Binafsi naona kwanza tukijite kuboresha miundo mbinu hilo ndio priority. Vile uboreshaji wa ICT uendelee ila sio kupeleka maafisa na kuajiri watu ambao wataenda huko wilayani na kukaa bila ya kuwa na kazi yeyote na kutumia rasilimali zetu bure.

Hii la umeme ni excuse ya Kisiasa zaidi. Mini nasema nasikitika Nikiona bado mpaka leo mwanfuzi tenawa mjini anasoma practical wa kukariri na wakat huohuo hao wanaisasa wanasema TEKHOHAMA.NAsikitika nikiona Detail za tanzania kwenye googe hazijashiba( Ramani ziko makabatini).list goes on ............

Hizo fikra za kimweri au hekaya za abunuwasi mkuu Zing.

Kwa hayo machache Mdondoaji hizo sio fikra za kimweri ni kuondoa mawazo ya kisasa tu .Waweke hata mkoa michache ya majaribio. Tena hapa dar naweza kujitolea kuonyesha how shule ambazo hazifanyi vizuri zinaweza kutumia kunufaika fursa zilizopo hatak kama hazina intenet. Then in in just two years with vey minium cost utapata majibu.
 
Barubaru & mdondaji ninyi ni wachumi mliosoma zamani na msiokwenda na wakati, ni aibu kuwa namchumi ambaye hafahamu how ICT/technology can improve business efficiency + direct & indirect profits. Epukeni mawazo ya kushindwa shindwa, "hata mbuyu ulianza kama mchicha"

For you glimpse information Mkuu,

I have a PhD in Economics from one of the top university in the world ambayo nimeipata karibuni, a Masters degree in Economics from one of the top three universities in the world, another Masters degree also from one of the top university in the world na Degree ya kwanza nimeipata Dar hapo. Bado nina degree nyengine ya kwanza nimeisomea hapo Dar. So I happened to know pretty well what I am talking about.

Mkuu hatuwezi kuruka kabla ya kutembea efficiency comes after building a very solid fundamentals. Nyie mnajipigia debe kampuni zenu na profession zenu but mnasahau Tanzania bado haina solid fundamentals. Kaeni mfikirie kwanza vp tutatua tatizo la umeme, tutaweza kufundisha watu wakawa na elimu ya kutosha. Watu ambao ndio watumiaji wa hizo computer mnazozipigia debe hapa na umeme. Nyie mnawaza ICT wakati umeme wa computer hamna je hizo Computer zenu mtawasha na mafuta ya taa??? Au hao watu laki sita mtawasambaza Tanzania nzima ndio watumie computer halafu watu milioni 44.4 wawe watazamaji tu??? Leo hii watoto wetu wanaomaliza darasa la saba wanaenda form one hawajui hata kusoma na kuandika. Sasa watoto hao watakuja kweli kuelewa DOS-Language 01010101 au SQL Language, au C++++ ?

Hebu jiulizeni vizuri kwanza.
 
Mdondoaji Hivi wilaya na mikoa yote haina umeme .Na mambo ya umeme ni wajibu wa taaluma nyingine .Tusichanganye mambo.Ndio maana kunawahandisi wamikoa . Kama hawafanyakaziyao hilo ni ni suala lingine

iweje mwanafuzi wa tambaza au jangwani ashindwe kuona practical ya chemistry/Physics hata kwenye video ?IS it umeme. Sawa wa kibondo hana umeme Vipi wa kniondoni/mwanza arusha mjini badodo anasoma practical kwa kukariri maandishi kama tulivyosoma zamani wakaati tunaimba TEKNOHAMA ....?

Iweje maktaba ya taifa za mikoa haina machapisho latest ya kada mbalimbali wakati tungeweza wangeweza kujinga na mkataba za online kupatacopy yanakakwabei nafuu . is it umeme ?

Kwa nini nishidwe kuona jina la kijiji au mtaa wangu kwenye googlemap? Is it umeme?

Jamani kama kweli wanasiasa wanaimba TENHAMA waonyeshe utayari kwa vitendo na kuwezesha

Mkuu Zing,

Kabla hatujawa na Teknohama lazima tuwe na umeme wa uhakika otherwise hizo Teknohama na vikorokoro vyengine vitakuwa useless. Kabla hujawa na Googlemap yenye kuonyesha nchi yako lazima pawepo na mipango miji inayoeleweka na barabara nzuri ili ukiweka mtaa wako au mkoa uweze kutambulika vizuri. Leo barabara za Dar hata hazieleweki, mitaa mengine haipo hasa katika system. Vijiji vyengine hatuna hata kumbukumbu navyo.

Ndio maana Professor Kibuda alisema kuwa wakoloni wametuachia miundo mbinu bora kuliko CCM na serikali yake ya miaka 50. Ukichunguza statement ya professor huyu ina ukweli sana. Barabara zinazotambulika na google bado ni barabara zile zilizokuwapo enzi za ukoloni why? kwasababu miundo mbinu mibovu. Narudia tena tujenge kwanza misingi mizuri na kipaumbele kwa sasa sio Teknohama bali tuwekeze katika elimu, barabara, sekta ya afya na kilimo. Tukishasimama hapo ndio Teknologia itafuata vyenginevyo tutaishia kubaya.
 
Nafikiri Mchumi mwenzangu Mdondoaji amewajibu hapa tena kwa kuwapa Data sio porojo.

Hivi Zing na Narubongo,

Mshatoa ushauri gani kuhusu upatikanaji wa umeme wa uhakika na gharama nafuu?

BArubaru naona unapindisha pindisha nakutoka nje mada Mimi sio mtaalam wa umeme Lakini kwa k uwa serikali inaekeza nguvu zake na hata pesa kwenye mambo ya TEKNOHAMA nimetoa maoni njia nzur iitayaowezesha na kufanikisha miradi kama hiyoy a Mkonga wa taifa iwe na faida kubwa zaidi.

Kama umeme ungekuwa ni tatizo kubwa kiasi cha kuzuia maoni yetu yasiwe valid basi serikali hiyo hiyo wala isingekuwa na kitu kama mradi wa mKonga wa taifa au kitambulisho cha taifa .Upo hapo mkuu
 
Jana nilikua kwenye workshop moja pale udsm,alikuja profesa toka Carnegie Mellon University
akawa anaongea juu ya umuhimu wa Cloud computing,na kwanini wameamua kufungua
tawi la chuo chao Rwanda.

Aliongea mengi sana,ila akasema najua sasa hivi mkituona watu weupe mnachukia
kwa sababu tume waibia raslimali zenu na tunaendelea kuchukua.
Marekani hatuna mkonga wa taifa kama huku,kule ili upitishwe ni gharama kweli kweli
maana uta negotiate na kila mtu kuchimba chini kupitisha,lakini hapa kwenu aaah
unachimba popote tu.

Tanzania mna nafasi ya kufanya makubwa,lakini mmesinzia,kama wazungu
walivo waibia raslimali zenu,ndivyo WANYARWANDA WATAKAVO WAIBIA KAZI ZENU
KWA MAANA WAMEWEKEZA KWENYE TEKNOLOJIA HII.

Wao hawana raslimali ardhi kama nyie,lakini kagame anasema wana raslimali watu
na wanataka kila mtu ajue TEKNOHAMA ili wasambae africa kote na Rwanda iwe center
ya "silicon valley" ya Africa.

Ni kweli kabisa,tume lala fofofo.
Lets make a difference.
 
Mkuu Zing,

Kabla hatujawa na Teknohama lazima tuwe na umeme wa uhakika otherwise hizo Teknohama na vikorokoro vyengine vitakuwa useless. Kabla hujawa na Googlemap yenye kuonyesha nchi yako lazima pawepo na mipango miji inayoeleweka na barabara nzuri ili ukiweka mtaa wako au mkoa uweze kutambulika vizuri. Leo barabara za Dar hata hazieleweki, mitaa mengine haipo hasa katika system. Vijiji vyengine hatuna hata kumbukumbu navyo.

Ndio maana Professor Kibuda alisema kuwa wakoloni wametuachia miundo mbinu bora kuliko CCM na serikali yake ya miaka 50. Ukichunguza statement ya professor huyu ina ukweli sana. Barabara zinazotambulika na google bado ni barabara zile zilizokuwapo enzi za ukoloni why? kwasababu miundo mbinu mibovu. Narudia tena tujenge kwanza misingi mizuri na kipaumbele kwa sasa sio Teknohama bali tuwekeze katika elimu, barabara, sekta ya afya na kilimo. Tukishasimama hapo ndio Teknologia itafuata vyenginevyo tutaishia kubaya.

Hili tatizo la umeme ni kwa sehemu nyingi za africa,tunaitumia
kama kisingizio tu......
Tuamke na tuanze sasa kazi.
You don't win if you don't play,....
You can't be perfect if you've never practiced and fail.........
 
Siungi mkono hoja, hii itaongeza mzigo kwa serkali. Hawa maafisa habari utamaduni na maichezo ndio wawe na kazi yakuintergrate informations toka idara zote ktk wilaya na kuziweka kwenye soft copy. pia watengeneze na update website ya wilaya c ndo kazi ya habari. Kama ni incompetents ondoa weka new blood

TEKNOHAMA ni gharama,kama haupingi kutengenezwa
majimbo mapya ya uchaguzi kila siku unapinga kitu muhimu kama hiki nakushangaa sana.

Cha muhimu sema ni huyo anae kuwa Afisa wa ICT awe ni mtu aliye na vision
ya nini kinatakiwa kwenye ICT in Tanzania sio kuchagua tu kama wakuu wa wilaya.

Pale udsm,mkuu wa college ya ICT ni profesa aliye soma sheria huko,
hajui chochote juu ya ICT na as a result college haina vision ya kutoa watu makini
walio tayari kuwa innovative badala yake ni kila mtu anawaza kuajiliwa ttcl,etc.
 
Najua JK na wanasiasa wengi wa CCM CDM CUF NCRR, etc wanatambua umuhimu wa TEKNOHAMA kuleta maedeleo ya uchumi na uboreshji huduma mbali mbai mbali za kijamii na upatikanaji wa taarifa .

Lakini maendeleo na ma mabadiliko ya kweli hayawezi kuja bila kuwepo na uongozi , usimamzi,uratibu na ushauri kutoka kwa watu wenye utaalam.

Ndio maana kwenye Mikoa na wilaya kuna maofisa wa kilimo, Elimu,Afyaa Uhandisi,Mifugo ,nk Sababu hiyo hiyo karne hii ni muhimu kuwa na maofisa ICT .Kwa kushirikiana na hao maofisa wengine kwenye Mikoa/wilaya hata mambo kama elimu yanaweza kusonga mbele kwa kasi

Kama Kweli CCM ,JK na wanasiasa wanataka Tanzania ifaidike zaidi na kutumia vizuri fursa za TEKNOHAMA na internet na miradi kama ya mkonga wa taifa iwe namanufaa zaidi basi ni wazi na muhimu kila mkoa na wilaya kunatakiwa kuwa na maofisa Wakuu mwenye utaalam wa mambo ya ICT. Bila hivyo faida Mkonga wa taifa na fursa nyingine zitaishia kwenye Internet cafe tu na kuisihia kuwaona wanasiasa wetu wakishilkilia Ipad bungeni.

Maenedeleo ya ya ICT hayabadiliki kwa bajeti kusomwa kwa Ipad au ukwenye kwenye dafatari......

  • Maedeleo ya ICT yatakuja pale shule isyokuwa na maabara kiwa na video/VIsual room yawanafunzi kuona experiment mbalimbali mbali ziizorekodiwa.
  • Maendeleo yata kuja pale makataba zisizokuwa na vitabu na zinazkufa kwa kutokuwa na machapisho latest zikiwanauwezo wakuapata machapisho ya afya,elimu,uhandisi kutoka maktaba za online duniani kwa muda muafaka

WAJIBU WA MAOFISA ICT WA MKOA NA WILAYA

  • Kwa utaalamu walionao watatakiwa kutoa ushauri kwenye taasisi za umma(Kama shule,Maktaba) hata binafsi jinsi gani wanaweza kufaidika na na TEKNOHAMA na jisni gani wanaweza kuwezesha. So far matamko mengi yanatolewa ni ya wanasisa na kisiasa. Vijana/Watu wenye uwezo na ufahamu wa haya mambo hawajapewa nafasi .Ndio maana tunasikia maneno kam kila mwanafuzi kupewa kopmyuta.....
  • Watatakiwa kutoa report za mafanikio na changamoto za TEHAMA katika kila mkoa au wilaya na mapendekezo nini kifanyike kiboreshwe
  • Watashirikiana na waratibu wahuduma hizi kama TRCA na watoa huduma kama makampu ni ya simu na ISP katika kuependekeza namna bora ya kutoa hduma mbali mbali

Hayo ni baadhi tu .......

ICT Specialists wapo kwenye ngazi za Mikoa na Halmashauri. Wamekuwepo kwenye ngazi za Mikoa kwa miaka Minne iliyopita.
 
Mkuu Zing,

Kabla hatujawa na Teknohama lazima tuwe na umeme wa uhakika otherwise hizo Teknohama na vikorokoro vyengine vitakuwa useless.

So U mean Mradi wa mkonga wa taifani wrong Priority .So umean kitamulisho cha taifa ni wrong priority na.Una maana hata kitambulisho cha mpiga kura nacho kilitakiwa kusibiri umeme? Realy ? .

Kabla hujawa na Googlemap yenye kuonyesha nchi yako lazima pawepo na mipango miji inayoeleweka na barabara nzuri ili ukiweka mtaa wako au mkoa uweze kutambulika vizuri.
Swali? Barabara zote na mitaa zinazoeleweka na zilizopangika hata za hapa dar zimo zote goooglemap? Nachoongea na nimekitafiti . googlemap unaweza kuweka hata detail za porii au msitu.Sasa sembeuse maeneo ambayo haya pangika.Na hata maneo yaliyopangika nani mwenye wajibu wa kuingiza details? mbona haziingiziwi? Ni umeme? Mkuu kuna fusra zinasubiri kutumika tena nyingine at virtualy no cost .

Leo barabara za Dar hata hazieleweki, mitaa mengine haipo hasa katika system. Vijiji vyengine hatuna hata kumbukumbu navyo.

Si Kweli . una generaise tu barabara zipo zinazoeleweka na informatin zake hazimo. Lakini kwenye ramani za makabatini Huko wziarani na mikoani zimo utakuta hata majina. Why? Nini obstacle

Ndio maana Professor Kibuda alisema kuwa wakoloni wametuachia miundo mbinu bora kuliko CCM na serikali yake ya miaka 50. Ukichunguza statement ya professor huyu ina ukweli sana. Barabara zinazotambulika na google bado ni barabara zile zilizokuwapo enzi za ukoloni why? kwasababu miundo mbinu mibovu.

Binafsi nimeshajaribu kuingiza taarifa za Mtaa na vijiji fulani nikawa n kosea badhi ya detail sababu sijui baadhi mambo ya ardhi.lakini kazi hi ikwa watu wenyeu elewa hata wewe unaweza kuipdate ramani ya Tanzania. Tatizo la miundombinu yetu na google map haihusiani .Googemap haizuii afisa ardhi au mtu yeyote kuuonyesha Mwananyamala kisiwani au sehemuye yote. Ni bure.tatizoni utayari .

Mimi nikipa-update process yakuthibitishwa inakuwa ndefu zaidiya muhusika wa ardhi . Tunarudi kwenye utaalamu. Mkuu usichanganye mambo .Sasa hata mkoa unategemea watalii kama arussha not much has been done.Siku hizi hao watalii refernce ya kwanza ni googlemap. So tusibiri umeme ndio turekebishe ramani zetu. Au as long as watalii wanaflow from kenya wanachange dollar zao kenya basi hakuna shida Turidhike na kuwa seocond destination ya watalii kwa eastafrica ?

Narudia tena tujenge kwanza misingi mizuri na kipaumbele kwa sasa sio Teknohama bali tuwekeze katika elimu, barabara, sekta ya afya na kilimo. Tukishasimama hapo ndio Teknologia itafuata vyenginevyo tutaishia kubaya.

Unajua kwa nini watu wansema tuko kwenye information age ? Huwezi kutengnaisha elimu na ICT kwa sasa.utabaki nyuma. Sekta karibu zote ziko tied na ICT kwa sasa si uatlii.,si elimu si huduma za jamii Kusema kwanza uanze kitufulani then ICTi subiri ni kujidanganya. as simple as that .

Hata Hivyo kikwete mwenyewe anasema kisiasa ICT ni muhimul lakini sio wansiasa wengi wanjua ni vipi iCT Inaweza kugeuza DIV Zero au IV kuwa Japo DIV III.nimetoa mifano.T

Aksanteni sana kwa changamoto zenu
 
ICT Specialists wapo kwenye ngazi za Mikoa na Halmashauri. Wamekuwepo kwenye ngazi za Mikoa kwa miaka Minne iliyopita.

Idont mean just specialist i Mean officers kama walivyo wa Afisa kilimo,Mifugo,afya , elimu...
wa mikoa
 
Siungi mkono hoja, hii itaongeza mzigo kwa serkali. Hawa maafisa habari utamaduni na maichezo ndio wawe na kazi yakuintergrate informations toka idara zote ktk wilaya na kuziweka kwenye soft copy. pia watengeneze na update website ya wilaya c ndo kazi ya habari. Kama ni incompetents ondoa weka new blood

ict is more than soft copies......, unaonekana hujui hata unachoongea! ila mko wengi
 
Jana nilikua kwenye workshop moja pale udsm,alikuja profesa toka Carnegie Mellon University
akawa anaongea juu ya umuhimu wa Cloud computing,na kwanini wameamua kufungua
tawi la chuo chao Rwanda.

Aliongea mengi sana,ila akasema najua sasa hivi mkituona watu weupe mnachukia
kwa sababu tume waibia raslimali zenu na tunaendelea kuchukua.
Marekani hatuna mkonga wa taifa kama huku,kule ili upitishwe ni gharama kweli kweli
maana uta negotiate na kila mtu kuchimba chini kupitisha,lakini hapa kwenu aaah
unachimba popote tu.

Tanzania mna nafasi ya kufanya makubwa,lakini mmesinzia,kama wazungu
walivo waibia raslimali zenu,ndivyo WANYARWANDA WATAKAVO WAIBIA KAZI ZENU
KWA MAANA WAMEWEKEZA KWENYE TEKNOLOJIA HII.

Wao hawana raslimali ardhi kama nyie,lakini kagame anasema wana raslimali watu
na wanataka kila mtu ajue TEKNOHAMA ili wasambae africa kote na Rwanda iwe center
ya "silicon valley" ya Africa.

Ni kweli kabisa,tume lala fofofo.
Lets make a difference.

mkuu umeongea kisayansi zaidi, umeme si sababu ya kushindwa hata kidogo.. huu ni uzembe wa hali ya juu c'se chanzo cha matatizo ya umeme kinajulikana. Turudi hapo kwa jamaa watakaofungua cloud centre Rwanda, hapo tayari Rwanda wanauhakika wa kuingiza mabilioni ya fedha kila mwaka so far kwa afrika nafahamu cloud centre ipo SA.

Mdondoaji, Edson na wengineo bado tunazungumza lugha moja "wanasiasa wanatuvuruga"
 
Back
Top Bottom