Kikwete na Utumishi, tangazeni na toeni ajira za maofisa ICT wa Mkoa na Wilaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete na Utumishi, tangazeni na toeni ajira za maofisa ICT wa Mkoa na Wilaya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zing, Apr 12, 2012.

 1. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Najua JK na wanasiasa wengi wa CCM CDM CUF NCRR, etc wanatambua umuhimu wa TEKNOHAMA kuleta maedeleo ya uchumi na uboreshji huduma mbali mbai mbali za kijamii na upatikanaji wa taarifa .

  Lakini maendeleo na ma mabadiliko ya kweli hayawezi kuja bila kuwepo na uongozi , usimamzi,uratibu na ushauri kutoka kwa watu wenye utaalam.

  Ndio maana kwenye Mikoa na wilaya kuna maofisa wa kilimo, Elimu,Afyaa Uhandisi,Mifugo ,nk Sababu hiyo hiyo karne hii ni muhimu kuwa na maofisa ICT .Kwa kushirikiana na hao maofisa wengine kwenye Mikoa/wilaya hata mambo kama elimu yanaweza kusonga mbele kwa kasi

  Kama Kweli CCM ,JK na wanasiasa wanataka Tanzania ifaidike zaidi na kutumia vizuri fursa za TEKNOHAMA na internet na miradi kama ya mkonga wa taifa iwe namanufaa zaidi basi ni wazi na muhimu kila mkoa na wilaya kunatakiwa kuwa na maofisa Wakuu mwenye utaalam wa mambo ya ICT. Bila hivyo faida Mkonga wa taifa na fursa nyingine zitaishia kwenye Internet cafe tu na kuisihia kuwaona wanasiasa wetu wakishilkilia Ipad bungeni.

  Maenedeleo ya ya ICT hayabadiliki kwa bajeti kusomwa kwa Ipad au ukwenye kwenye dafatari......

  • Maedeleo ya ICT yatakuja pale shule isyokuwa na maabara kiwa na video/VIsual room yawanafunzi kuona experiment mbalimbali mbali ziizorekodiwa.
  • Maendeleo yata kuja pale makataba zisizokuwa na vitabu na zinazkufa kwa kutokuwa na machapisho latest zikiwanauwezo wakuapata machapisho ya afya,elimu,uhandisi kutoka maktaba za online duniani kwa muda muafaka


  WAJIBU WA MAOFISA ICT WA MKOA NA WILAYA


  • Kwa utaalamu walionao watatakiwa kutoa ushauri kwenye taasisi za umma(Kama shule,Maktaba) hata binafsi jinsi gani wanaweza kufaidika na na TEKNOHAMA na jisni gani wanaweza kuwezesha. So far matamko mengi yanatolewa ni ya wanasisa na kisiasa. Vijana/Watu wenye uwezo na ufahamu wa haya mambo hawajapewa nafasi .Ndio maana tunasikia maneno kam kila mwanafuzi kupewa kopmyuta.....
  • Watatakiwa kutoa report za mafanikio na changamoto za TEHAMA katika kila mkoa au wilaya na mapendekezo nini kifanyike kiboreshwe
  • Watashirikiana na waratibu wahuduma hizi kama TRCA na watoa huduma kama makampu ni ya simu na ISP katika kuependekeza namna bora ya kutoa hduma mbali mbali

  Hayo ni baadhi tu .......
   
 2. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  mkuu umetisha sana. Ukweli ni kwamba serikali haina nia ya dhati ku_implement hii program, hii imekuwa ni gia ya kuwahadaa wananchi kipindi cha uchaguzi
   
 3. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Ndio tunawa kumbusha Mkuu .hope wahusika wengine na wanasiasa wenye kusikiliza wanaweza kuyafikisha wawahusika
  • Kama hakuna bajeti ( Assuahilihuwanijibu jepesi) basi waanze na mikoa michache ya majaribio na hawawa maafisa ICT wapewe mikataba ya miaka miwili au mitatu tu.
  • Kama ni Job description na specifcation Tunaweza kuwasidia kuzianisha. So far mambo yana endaenda tu

   
 4. v

  vngenge JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Siungi mkono hoja, hii itaongeza mzigo kwa serkali. Hawa maafisa habari utamaduni na maichezo ndio wawe na kazi yakuintergrate informations toka idara zote ktk wilaya na kuziweka kwenye soft copy. pia watengeneze na update website ya wilaya c ndo kazi ya habari. Kama ni incompetents ondoa weka new blood
   
 5. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Mkuuu unnadhani Afisa na michezo anajua nini Kuhusu Fiber optics? Anajua nini kitaaam kuhsu internet. Kamuulize Meya wa arusha/ au RC wa Arusha mfano wa mikoa inayotegeamea utalii auwauize hao umaofisa unaowataja faida za google map katika mikoa yao? Na waulize wanashauri nini kinatakiwa kufanyika.

  Its not about integrating information hata watu kama Shyrose bhanji na amaofisa habari kama waikulu wanajua kuuhsuu Information lakini they dont know technical Know How kuhusu ICT.

  Ndio nimeandika faida za mkonga wa taifa zitaishia kwenye Internet cafe.

  Mkuu ICT ni zaidi ya website na ndio maana inabidiutofaistihe ofisa habari na ofisa wa IT/ICT..Na sio kwamaba kuna watu incompetent ni kwamba hawapo.
   
 6. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kwa bahati mbaya sana scientists & engineers wa tz tumewaruhusu wanasiasa watuingilie kwenye fani zetu, mfano ni ule mradi wa vitambulisho vya taifa kwa kutumia mifano ya nchi za wenzetu tulipata idea ya kuimplement ile project kwa chini ya 40b badala ya zile 200b. Siasa zinatuvuruga sana
   
 7. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Nafikiri hapa ahali yangu kuna mengi ya kufikiiri kabla kumpa ajira mtu.

  Je ni wilaya ngapi zina umeme huko Tz?
  Je ni afisi ngapi katika hizo Halmashauri zina computer?
  Je ni Halmashauri ngapi zimeunganishwa au zina huduma za internet?
  Je huyo mtaalamu atafanya kazi zipi huko kwenye halmashauri?

  Nafikiri kama utabahatika kufanya utafiti kidogo kuhusu hayo hapo juu basi utajenga hoja nzito katika wazo lako.
   
 8. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Mkuu mifano ipo mingi hata RICHMOND nimoja ya mfano ambapo wanasiasa ndio walikuwa washauri wa mamboya kitaalamun na wataalamu

  In respect tu contribution ya mkuu vigenge lakini unaona alivyo generalise mambo.Hiyo ndivyo picha halisi. Mambo mengi Ukiondoa siasa tunayatafutia short cut............

  No wonder kuna mkoa au wilaya inaweza kukaa miaka hata miaka mwili wili bila kuwa na Ofisa eimu lakini jimbo la uchaguzi haliwezi kukaa miezi sita ila mbunge . chap chap linajazwa .....
   
 9. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  mkuu ni kwamba kuna "methodologies" kutegemea na methodology utakayoitumia kuna hatua inaitwa "acquisition of user/system requirements" (primary research) hii ni hatua ya kitaalamu sana ambayo utapata mahitaji yote ya watumiaji wa huduma, system kama vile umeme, aina ya pc etc.

  Upo sahihi kabisa na hapo ndipo unapopata umuhimu wa kuwa na maafisa hawa c'se huwezi kutengeneza system kwa kuwaweka watu wa dar/mwanza/arusha na watu wa rukwa/singida/dodoma vijijini kundi moja.

  Tunapoteza mabilioni ya fedha kufanya sensa, warsha, ufisadi etc ambayo kwa ulimwengu huu wa technology yanaepukika. Ukifuatilia vizuri, sasa hivi ufisadi mkubwa unafanyika kupitia tender za ICT
   
 10. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Sijui kama umenipata mkuu
  kompyuta ziwepo au zisiwepo wilayani lakini muhimu wawepo wataalmu wa Kuwashauri katika zama hizi kwenye mambo ya kitaalam ni fusra gani zipo na zichotwe vipi .

  Chukulia mkoa wa dar esalaam na waliaya zake . Je shule za dar za serikali na za binafsi zinajua/Zimejulishwa fusra mbimbali zinawzoweza kusadia uboreshaji wa elimu. Ni wajibu wa nani?

  Ni sahihi mpaka leo mwanafuzi wa jangwani au tambza aus hule zozozte za mjini kushindwa hata kuona Practilca ya chemistry/Physics /Biology kwenye video kwa kisingizio cha kutokuwa na vifaa vya maabara? Kwa nini kusiwe na VISUAL labaratory? Hapo ndipo unapo kuja ushauri wa kitaalam


  Maswali yako kuhsuu wilaya kutokuwa na umeme au kompyuta naona kama yamekwepa hoja ya msingi.AFisa Kilimo wa mkoa/Wiaya hana jembe ofisini lakini kitaaam ana ushauri wa kiimo .Nadhani umenipata   
 11. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  haahah huyo vigenge anawakilisha aina ya viongozi tulionao na usikute ni manager wa ofisi fulani nyeti
   
 12. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Naomba nikujuze mimi kama mchumi naangalia kitu hichi katika jicho la uchumi zaidi.

  Ninavyojua labda pale kwenye halmashauri kuna Computer labda tano (moja mkurugenzi, afisa utumishi, idara kilimo, ardhi n.k)

  Sasa utaona huyu mtu atakuwa hana kazi nyingi kutokana na hivyo vitendea kazi. Kiuchumi ningesema ni bora kukodi mtaalamu huyo pale anapohitajika kuliko kumuweka mtaalamu wakti hana kazi za kufanya kutokana na kukosa facilities.

  ndio maana nikauliza je mnajua kwenye halmashauri zenu kuna Computer ngapi? je zimeunganishwa na Internet na zipo kwenye network?

  Bila kujua kazi za huyo mtaalamu inakuwa vigumu kuajili. Kwani gharama za kuajili ni kubwa sana kuliko kukodi mtu pale anapohitajika.

  Naomba kuwakumbusha ili mtu aajiriwe lazima mtazame kwanza kazi zake atazofanya.

   
 13. k

  kajembe JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 756
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Point za muhimu sana hizo kufanyiwa kazi kwanza!
   
 14. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Nafikiri hizo ulizo sema hapo (nilizo underline )sio kazi za Afisa ICT. Kuna afisa biashara ambaye atakuwa anatoa Ilmu ya ujasiriamali.

  Mambo ya ICT zinaweza kutolewa na watu mbalimbali ikiwemo katika blog kama hizi na kusoma vijarida mbalimbali ikiwemo kupitia mtandao.

  Vile vile huko Tz kuna hizi skuli binafsi zinazotoa ilmu ya ICT na ujasiriamali.

  Ni vigumu sana na haiingii akilini kumwajili afisa ICT wakti huna vitendea kazi vya kumwezesha kufanya kazi zake vizuri bali kutegemea kuwa atakuwa mtu wa kupiga domo. Hiyo ni sawa na Mbwa bila meno.
  Haiwezekani na haikubaliki.

   
 15. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Nadhani hujasoma ujumbe wanguwamwazo vizuri na kuulewa . Naomba Nikuulize Afisa Elimu wa mkoa a u Afisa Kiimo wa mkoa kaziyake ni nini?Jekunashamba la Mkoa? Labda ukijibu swali hilo unaweza kupata ujumbe nilioutoa. Naogeakuwa naw watu/wataaalam katila level ya Middlle/Top magament/ wenye ufahamu wa haya mambo

  Ukisema Afisa ICT wa mkoa au wilaya hana/hatakuwa na kazi nyingi Basi Tanzania tutakuwa na mfanikio sanaWichisnot true. Ina maana potential zote za fursa zoteza ICT kwenye idara zote na taasis za jamii na bifafsi zimefanyiwa kazi.

  Naomba urudie kusoma vizuri niichoandika.

  Ndio maana nasema hujanisoma vizuri kwa dondoo chache mwazonikunasehemu niliandika hivi

  WAJIBU WA MAOFISA ICT WA MKOA NA WILAYA


  • Kwa utaalamu walionao watatakiwa kutoa ushauri kwenye taasisi za umma(Kama shule,Maktaba) hata binafsi jinsi gani wanaweza kufaidika na na TEKNOHAMA na jisni gani wanaweza kuwezesha. So far matamko mengi yanatolewa ni ya wanasisa na kisiasa. Vijana/Watu wenye uwezo na ufahamu wa haya mambo hawajapewa nafasi .Ndio maana tunasikia maneno kam kila mwanafuzi kupewa kopmyuta.....
  • Watatakiwa kutoa report za mafanikio na changamoto za TEHAMA katika kila mkoa au wilaya na mapendekezo nini kifanyike kiboreshwe
  • Watashirikiana na waratibu wahuduma hizi kama TRCA na watoa huduma kama makampu ni ya simu na ISP katika kuependekeza namna bora ya kutoa hduma mbali mbali

  Niambie nani mtaaamu mwenye jukumu/wajibu huoa sasa hivi? Kwenye elimu wapo kwenye afya wapo. Autukubaliane kuwa TEKNOHAMA Sio muhimu kiasi hicho
   
 16. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  umesahau kwamba mpango uliopo ni kuunganisha ofisi za nchi nzima na hivyo ni lazima kuwepo na standards. Tanzania tunaanza na zero by the way ict si kuwa na computer & internet tu..

  @green tech specialist
   
 17. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  We are not on the same page
   
 18. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0

  Nafikiri wewe una kiu tu ya kutaka kazi au kupewa kazi. Lakin kumbuka nimefanya kazi hizi sana mpaka kufikia RDD(Mkurugenzi wa maendeleo wa Mkoa ). Hivyo nazijua vilivyo Halmashauri zenu.

  Unachozungumzia wewe ni kuwa na waalimu wa ICT kwenye skuli za msingi na sekondari. Hao watakuwa na jukumu sio tu kufundisha lakin pia kutoa utaalamu wa ushauri kwa Serikali.

  Na kwa kuwa Hakuna Computer za kutosha Kwenye Halmashauri kutokana na uhaba wa fedha wa Serikali ni vizuri kuwatumia waalim hao kwa makubaliano maalum kutoa utaalamu wao katika afisi za Halmashauri. Lakin sio kumwajiri mtu kwenye halmashauri bila kazi za kutosha.

  Vile vile Je unajua ni wilaya ngapi ambazo hazijafikiwa na Umeme mpaka leo? Je kuna tarafa au kata ngapi ambazo hazina umeme mpaka leo huko Tanzania? Kumbuka hao ndio watu muhimu kupata huduma hizo. Kwani mijini magazeti na maskuli kibao.

  Kila la kheir. Usichukie
   
 19. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Vile vile wale wa mkoa wawe wasimamizi wa maofisa wa ICT wa wilaya kama zilivyo idara zingine kama afya, elimu, maji, utamaduni n.k.

  Hoja yako imezingatia wakati, hongera sana.
   
 20. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hivi Zing na Narubongo,

  Mshatoa ushauri gani kuhusu upatikanaji wa umeme wa uhakika na gharama nafuu? Au ndio zile hadithi za abunuwasi kuwa una mayai mawili tayari unaanza kujenga nyumba ya ghorofa ndotoni? Zing mawazo yako mazuri ila kwa mazingira ya Tanzania nadhani yangelisubiri kwani sio kipaumbele. Project ya E-government is an elephant project kwasababu mimi kama mchumi nikiangalie ile project nadhani tunasahau vipaumbele vyetu. Labda nikutaarifu Tanzania kuna watu wasiopungua laki sita tu wanaotumia internet na wamejiandikisha kutumia internet.

  Tukigawanya hilo = 600,000/ 45,000,000 = ni sawa na 1.3% ya population sasa ni kichekesho kuanza kuwanza ICT wakati the rest of 98.7% of population hawajui hata internet ikoje achilia mbali computer inawashwaje. Mbaya zaidi Umeme wa uhakika haujulikani unapatikana vipi. Binafsi naona kwanza tukijite kuboresha miundo mbinu hilo ndio priority. Vile uboreshaji wa ICT uendelee ila sio kupeleka maafisa na kuajiri watu ambao wataenda huko wilayani na kukaa bila ya kuwa na kazi yeyote na kutumia rasilimali zetu bure.

  Hizo fikra za kimweri au hekaya za abunuwasi mkuu Zing.
   
Loading...