Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,141
I think michango ya wengi hasa ambao wanasisitiza tutatue tatizo la umeme ndo tufikirie ICTs au kwanza tufute ujinga nd tufikirie ICT wapo kizamani sana na sidhani kama wana uelewa wa kutosha kuhusu ICT. Nani kakuambia ICT ni computer tu? Kwenye halmashauri labda kuna kompyuta mbili tu sababu hawaoni matumizi yake zaidi ya excel na word au internet. ICTs has a lot to offer kwenye nchi zinazoendelea. Matatizo ya umeme au maji isiwe ni kikwazo ya kutoitumia hii teknolojia. Ila hii teknlojia inafaa kuwa contextulized ili iweze kutumika regrdless ya matatizo ya umeme. Mfano hospitali kuna kompyuta amabayo inahifadhi data za wagonjwa. Lakini hiyo kompyuta ikiwa off sababu ya umeme itaonekana haina faida. It doesnt mean kwamba hatuwezi tuka adapt mfumo wa hio teknolojia kuendelea kutoa support hata kama uemem haupo. Simu za mkononi zinatapakaa kila mahali. Records could be uploaded kwenye simu ya mgonjwa computer ya hospitali inapokuwa off. hii inafanya kwamba records ziendelee kuwa accessible wakati wa treatment. Sasa solution kama hii inahitaji mabadiliko katika mfumo wa access control. Tukichukua mfumo wa ulaya hii system haitafanya kazi. Ila tukiadapt mfumo kutokana na context then access control mechanism zinaweza zikafanywa offline na online. Sasa unaweza kukuta ulaya hawajawahi kufikiria kitu kama hicho. Kwa hiyo naonga mkono hja ya kuwa na wataalamu wa IT kenye ngazi za wilaya. Lakini wasiajiri tu mtu ili mradi amesomea IT. Waajiri watu amabao ni wabunifu na wanaofikiria otside of the box. Maana ukiajiri mtu yeye anachojua ni ICT policies then hapo tutakuwa tumeajiri wanasiasa. Sisemi mtut hatakiwi kuwa na knowledge ya ICT policies ila nachosema ni mtu kuwa competence kwenye social na technical side za ICT