Kite Munganga
Platinum Member
- Nov 19, 2006
- 1,773
- 952
Alikuwa anasoma nchini uingereza katika chuo kikuu kinachoitwa Southampton. Kwa bahati mbaya alikuwa anaendekeza sana starehe, na hivyo hakumaliza chuo; akamdanganya mkuu wa kaya, akamtumia hela nyingine, akajoin vyuo vya machakani vya kusoma mwezi mmoja sijui miwili akatunukiwa cheti. Sina uhakika kama cheti alichonacho kina jina la Southampton au hicho chuo kingine alichokimbilia baada ya kushindwa kumaliza Southampton.
Kweni nafasi hiyo BOT haikutangazwa? au hapakuwa na interview halali? Nafikiri hili Liyumba analo jibu zuri zaidi