Kikwete na Mkapa Enzi hizo...

Aisee hapa hawa jamaa walikua ni MaBrother Man!
 
watu hawa wamei cost hii nchi..malima, mkapa etc
 
Hapo hiyo hoyee itoka wapi? Nilifikiri kafanya jambo zuri lenye maslahi kwa Taifa kama kuwawajibisha mawaziri 8 wezi kumbe kamkumbatia mfk ben
 
Si alishindwa duru ya pili ya uchaguzi? Sasa kwanini unasema 'alipomuachia'? Acheni ushabiki usiokuwa na maana. Kama unampenda sana kanywe nae chai.
 
Si alishindwa duru ya pili ya uchaguzi? Sasa kwanini unasema 'alipomuachia'? Acheni ushabiki usiokuwa na maana. Kama unampenda sana kanywe nae chai.

duh! Povu la nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…