Imeongezeka laki 3, nilikua nachukukua take home laki 3 na 54 bt kwa sasa nimekuta take home laki 6 na 54! Kama ni kampeni wameliwaaaaaa wala hutubadili msimamo@

Moja ya ahadi ya mh Jk alipoalikwa Arusha kwenye uchaguzi viongozi wa chama cha walimu Tanzania mwishoni mwa mwezi mei, ni kuboresha mishahara ya walimu ikiwa ni pamoja na kuhuisha madaraja ya mishahara wa watu hao muhimu kwa maendeleo ya Taifa, mwenyekiti huyo wa ccm aliahidi kuwa suala hilo litaleta mabadiliko makubwa ya mishahara ya kada hiyo kuanzia mshahara wa mwezi augost mwaka huu. Walimu tupeni update pindi mshahara wa mwezi huu utakapotoka.
jk nae kazidi ustaarabu,yeye anatoka anaongeza ili iweje,mijitu yenyewe hata shukrani huwaaga haina,,,,,,,hapo ndo jk anaponiudhi...
kawatengeneza maisha bodaboda leo haohao wanadiss...
imeongezeka laki 3, nilikua nachukukua take home laki 3 na 54 bt kwa sasa nimekuta take home laki 6 na 54! Kama ni kampeni wameliwaaaaaa wala hutubadili msimamo@