MENDE JEURI
Senior Member
- Apr 6, 2011
- 198
- 29
weee ndiyo ***** wa mabwege. Eti ku gain attention,, ili iwe nini? Tuondolee uvivu wako wa kazi, huna kazi za kufanya? Kafie mbeleWanajamvi mapambano bado yanaendelea ya kutafuta haki na usawa, FACEBOOK kuna page imeanzishwa ya kumtaka kikwete aresign, kama wewe ni member wa facebook endeleza mapambano kwa kulike hii page on the link below....... watu wakijoin wengi itasaidia kugain attention ulimwenguni na hatimaye mambo kubadilika
President Jakaya M. Kikwete MUST Resign | Facebook
View attachment 24466
This is a wishful thinking. Kwa akili yako unaamini kabisa kwamba kwa njia hii unaweza kuiminya demokrasia na ku-impose unachokitaka wewe. Nenda uarabuni kama unataka, siyo utuletee uchochezi wako. Hapa sisi tunakosoa lakini hatuwezi kujiingiza katika vitendo vyako vya uhaini!
weee ndiyo ***** wa mabwege. Eti ku gain attention,, ili iwe nini? Tuondolee uvivu wako wa kazi, huna kazi za kufanya? Kafie mbele
wanajamvi mapambano bado yanaendelea ya kutafuta haki na usawa, facebook kuna page imeanzishwa ya kumtaka kikwete aresign, kama wewe ni member wa facebook endeleza mapambano kwa kulike hii page on the link below....... Watu wakijoin wengi itasaidia kugain attention ulimwenguni na hatimaye mambo kubadilika
president jakaya m. Kikwete must resign | facebook
View attachment 24466
bora tuendelee kuumia kuliko facebook kufungwa????
resign?
no way, kwa lipi hasa?
Mbona hujauliza zile pages za face book za jakaya kikwete kama ni zake kweli?Nahisi Kuna watu wanatumia vibaya uhuru wao wa habari na Social Networks, Na pia naomba watu wa CHADEMA waje hapa watuhakikishie kama hizi link ni zao!,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo | Facebook
Hiyo hapo juu nina mashaka kwa 100% kwamba Sio ya CDM that one am sure. kama wao ndio naomba wajitokeze na waseme najua wapo humu na wanasoma Post zetu
President Jakaya M. Kikwete MUST Resign | Facebook hii siikubali hata kidogo,
Kuna watu huenda wanataka kuichafua CDM au kuna wana CDM ambao ni watovu wa nidhamu.