kwani akifanya ziara dodoma na bagamoyo anakutana na nani kama si wananchi
kwani akifanya ziara dodoma na bagamoyo anakutana na nani kama si wananchi
dom ni kwa sababu ya bunge na bagamoyo ni kwao. aende arusha,mwanza,mbeya au kigoma kama wananchi hawajamvua gamba gumu lake.
Jamani ndugu zangu wana jamvi mbona rais wetu haendi mikoani husani mikoa ya kaskazini na mikoa ya kanda ya ziwa. Yeye anakwenda dodoma tu
Ni swali zuri sana. Lakini usijeshangaa akasema Nape anamwakilisha on his behalf!!
Mi nasubiri tu ile ahadi ya meli yetu kule ziwani Tanganyika, na ujenzi wa mji wa kisasa wa Kigoma aka Dubai ya Africa, nilitegemea ujenzi wa miundombinu ungekuwa umeshaanza
Anaogopa kwani ashaliwa kichwa na magamba!!