Kikwete: Mazungumzo Ya Kila Mwisho Wa Mwezi Na Wananchi

Domo Kaya

JF-Expert Member
May 29, 2007
531
59
Ndugu wana Jf hivi yale mazungumzo ya Rais wetu na wananchi kila mwisho wa mwezi kupitia vyombo vya habari yamekwenda wapi???????? kuna mtu yoyote mwenye habari kwa nini Rais wetu hafanyi tena ya mazungumzo???? Au kachoka kuhutubia/kutoa ahadi hewa???????
 
Amemuachia kazi hiyo Salva,Yeye kabakiza kufanya safari na kufanya shopping...Atakuwa Marekani hivi karibuni kuzungumza na Kichaka
 
By the way hakuna tofauti, mi naona ni bora tu hata alivyoamua kukaa kimya!
 
Back
Top Bottom