sir.JAPHET
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 699
- 137
kwanza sio mstaafu,alijiuzuli!
Hlf kweli ni jembe kozi jembe km jembe haliwezi kufanya kazi bila kutiwa mpini!
Robert Mugabe pia ni jembe majambazi husifiana kwa ushenzi wanaoufanya kwa watu wenye haki ya kuishijembe la ufisadi hilooooo
HAHAHAHHAHHAHHAHHAH TEEEH TEEEEH.... LOLIONDO ILIShindikanaaaa HAHHAHHAHHAHHAnasikia liko ujerumani limeenda kubadilisha damu kwanini lisifie hukohuko..
He mimi nilidhani jimboni kwa lowasa hakuna kelo.kwa jinsi anavyomwaga fedha kwa ajili ya kuusaka urais.kwanini asitumie hizo fedha kuondoa kelo jimboni kwake.kama ameshindwa kutumia nguvu ya kifedha aliyonayo kumaliza kelo jimboni kwake atakapo kuwa raiswa tz ataweza kweli kumaliza kelo za watanzania.
kwanza sio mstaafu,alijiuzuli!
Hlf kweli ni jembe kozi jembe km jembe haliwezi kufanya kazi bila kutiwa mpini!